MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Dada nyamayao this is what I thought as a wise decision. Kwa kweli sometimes huwa nashindwa kuelewa yaani the man anakuwa kama vile mkoloni and yet anajidai anampenda sana mkewe... yaani anazo loose ends kibao ambazo hazieleweki namkewe mara nyingi huwa hapendi kumfukunyuafukunyua mumewe akiamini kuwa anampatia space - mume hataki simu yake iguswe na wala aulizwe uko wapi kama akipifga simu but yeye simu ya mkewe ni yake na asikute namba ya mtu asiyemfahamu basi atampigia na kuanza kumwuliza kwa hasira-- its very sad.
Salamu ndugu zanguni.... jamani naomba nisaidieni, je kuna ndoa kweli hapa iwapo................
1. Pesa za mume hazieleweki zinapokwenda na ukiuliza ni ugomvi ila za mke anataka ajue ametumiaje na anataka mshahara ukitoka tu basi akabidhiwe na yeye ndie awe anayepanga matumizi. Na mke haruhusiwa kununua hata handkerchief ataambiwa yuko extravagant ila mume anauwezo wa kutumia laki tano au sita within a week ikaisha na asiulizwe matumizi.
2. Mke hatakiwi kusaidia ndugu zake na akiomba pesa kwa ajili ya ndugu zake (mke) basi mume hukasirika hadi mke anajuta...
3. Mume siku zote yuko negative about chochote anachokifanya mkewe ingawaje pesa zikipatikana yeye ndie wa kwanza kuzidai
4. Kila siku mume anatafuta makosa kwa mkewe hata kama ni kwenda na kufukua ya nyuma kabla hawajaoana
5. Mume anapenda aabudiwa hata na wakwe zake. kwake yeye wakwe zake si kama wazazi bali watumwa ambao wanastahili kumnyenyekea yeye.
Kwa upande wangu mimi nahisi kama huyu mume anamtumia tu huyu mdada na hana mapenzi ya kweli nae hivyo si ajabu akamwaga huko mbeleni mambo yake yakishakuwa mazuri....
Nini mtazamo wako katika ndoa za aina hii?
je kuna ndoa kweli hapa iwapo................
1. Pesa za mke hazieleweki zinapokwenda na ukiuliza ni ugomvi ila za mume anataka ajue ametumiaje na anataka mshahara ukitoka tu basi akabidhiwe na yeye ndie awe anayepanga matumizi. Na mume haruhusiwa kununua hata handkerchief ataambiwa yuko extravagant ila mke anauwezo wa kutumia laki tano au sita within a week ikaisha na asiulizwe matumizi.
2. Mume hatakiwi kusaidia ndugu zake na akiomba pesa kwa ajili ya ndugu zake (mume) basi mke hukasirika hadi Mume anajuta...
3. Mke siku zote yuko negative about chochote anachokifanya Mumewe ingawaje pesa zikipatikana yeye ndie wa kwanza kuzidai
4. Kila siku Mke anatafuta makosa kwa Mumewe hata kama ni kwenda na kufukua ya nyuma kabla hawajaoana
5. Mke anapenda aabudiwa hata na wakwe zake. kwake yeye wakwe zake si kama wazazi bali watumwa ambao wanastahili kumnyenyekea yeye.
Nini mtazamo wako katika ndoa za aina hii?
Hii ndoa utadhani ni hadithi ya kubuni kumbe kweli. Mimi ushauri wangu kwa huyu Dada awe jasiri aache kumpa pesa huyo mumewe.
...Mke anaonewa na mumewe.
...Mume anampenda sana Mkewe!
...yote inategemeana na bilauri unaiangaliaje, ...maji yamejaa nusu, au yamepungua nusu!
Namshauri huyo dada aamke huu sio wakati wa kulala na wala hajachelewa. Aongee na mume amueleze anavyofanya sio vizuri. Akiendelea kuwa goigoi ataishia kuumia wakati mwenzake wala hamjali.
Je wana watoto?
Sawa ataacha kumpa pesa je unadhani hii itakuwa suluhisho au ndo itamfungua kifungoni? Maana the way it seems ni kuwa bwana hana mapenzi ya kweli kwa mkewe otherwise asingekuwa anakasirikakasirika hata kwa sababu za kuchekesha- eti housegirl kaitwa hajaitika (bila kujua kama amesikia au la) tayari basi kosa ni la mke!!
Mimi nadhani hapa mapeenzi yameelemea upande mmoja tu kwa mke masikini
Nasikia Guantanamo inafungwa, kumbe ziko nyingine? Tobah!Salamu ndugu zanguni.... jamani naomba nisaidieni, je kuna ndoa kweli hapa iwapo................
1. Pesa za mume hazieleweki zinapokwenda na ukiuliza ni ugomvi ila za mke anataka ajue ametumiaje na anataka mshahara ukitoka tu basi akabidhiwe na yeye ndie awe anayepanga matumizi. Na mke haruhusiwa kununua hata handkerchief ataambiwa yuko extravagant ila mume anauwezo wa kutumia laki tano au sita within a week ikaisha na asiulizwe matumizi.
2. Mke hatakiwi kusaidia ndugu zake na akiomba pesa kwa ajili ya ndugu zake (mke) basi mume hukasirika hadi mke anajuta...
3. Mume siku zote yuko negative about chochote anachokifanya mkewe ingawaje pesa zikipatikana yeye ndie wa kwanza kuzidai
4. Kila siku mume anatafuta makosa kwa mkewe hata kama ni kwenda na kufukua ya nyuma kabla hawajaoana
5. Mume anapenda aabudiwa hata na wakwe zake. kwake yeye wakwe zake si kama wazazi bali watumwa ambao wanastahili kumnyenyekea yeye.
mimi nikifika nyumbani mshahara wote anapokea mke wangu na bajeti nzima anafanya yeye, na hata nikitaka hela za kutuma kwetu inanibidi kumuomba yeye, huo ni mfumo tu wa maisha. Mama yangu aliwahi kulalamika ati yeye akitaka hela hata ya kununua soda lazima mke wangu ajue kwanini, nilichomwambia huo ni mfumo wetu wa maisha.
Hivyo sioni sababu ya mtu mwingine kumzungumzia huyu Dada ati anateseka wakati huo ni mfumo wao wameamua wao kuishi hivyo.