Jackson matthew Senior Member Joined Jun 26, 2026 Posts 182 Reaction score 516 Nov 1, 2026 #1 Kwanza inalinda wakati,inapunguza maradhi,hupotezi nguvu maana una mke.na tena ni furaha tele show unapata mda wowote.sio kama demu anakupg saund na haji
Kwanza inalinda wakati,inapunguza maradhi,hupotezi nguvu maana una mke.na tena ni furaha tele show unapata mda wowote.sio kama demu anakupg saund na haji
Jackson matthew Senior Member Joined Jun 26, 2026 Posts 182 Reaction score 516 Nov 1, 2026 Thread starter #2 Bachela hawez kujiekeza n vigum mno.
EricMan JF-Expert Member Joined Oct 5, 2017 Posts 4,173 Reaction score 7,542 Nov 1, 2026 #3 Andika pole pole mkuu hebu edit
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 3,290 Reaction score 6,266 Nov 1, 2026 #4 Ndoa na iheshimiwe na watu wooote!!!
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 7,054 Reaction score 25,579 Nov 1, 2026 #5 Ukibahatika kumuoa mwanamke aliyetulia, itafurahia ndoa otherwise utakuwa kama Masai wa Town
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 4,453 Reaction score 9,342 Nov 1, 2026 #6 Haya sasa hapo kwenye kupiga mda wowote ndio kamzozo kwa walio oa wewe huo wandiko hujaona umeoanisha sehemu a na b
Haya sasa hapo kwenye kupiga mda wowote ndio kamzozo kwa walio oa wewe huo wandiko hujaona umeoanisha sehemu a na b
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 36,004 Reaction score 105,804 Nov 1, 2026 #7 Hahaha mnajifariji