Ndoa za siku hizi bwana! Wanajamii naomba mnisadie maana ndoa za siku hizi hazidumu kabisa ni mdudu gani kaingilia kati? Ndoa nazifananisha na mua, mbona wanandoa wanaanza kula kutamu na kumalizia kuchungu wakati inatakiwa uanze kula kuchungu umalizie kutamu. nina swali moja kwa kila jinsia tafadhali:
Lakini tunatakiwa tubadilike kwakweli the way we handle each other, sithani kama unamtake care mwenzako ipasavyo anaweza kukubetray ( nyumba ndogo zinajali ndio maana zinapedwa na zinajua maana ya kupendwa) au vipi wandugu???:hug:
- Mume ungependa kufanyiwa nini haswa kwenye ndoa ili usiende nje?
- Mke nawe pia ungependa kufanyiwa nini, mnataka mpendejwe na vitu gani mnashidwa kuwafanyia waume zenu mpaka waangaike?

anaza senksi nagonga hapa.na ni kwa ajili ya uchakachuaji.ni ndoana ...

:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
- Mume ungependa kufanyiwa nini haswa kwenye ndoa ili usiende nje?
ningpenda nifanyiwe maombi nje isiinuke ilale kabisa kabisa nje ya ndoahili ndilo ombi la wana jf wa kiume na nyie wanawake...maana hii ndio soln yetu sijui nyie
Matatizo yote haya yanaletwa na maadui wafuatao;Ndoa za siku hizi bwana! Wanajamii naomba mnisadie maana ndoa za siku hizi hazidumu kabisa ni mdudu gani kaingilia kati? Ndoa nazifananisha na mua, mbona wanandoa wanaanza kula kutamu na kumalizia kuchungu wakati inatakiwa uanze kula kuchungu umalizie kutamu. nina swali moja kwa kila jinsia tafadhali: