ni kweli au kuadimika kabisa.zisije tu zikapanda bei
ha ha ha kweli kabsaa!!zisije tu zikapanda bei
nimecheck kuanzia tarehe tano March kweye hii Jukwaa sikuona ndo maana nikapost hii! may be iliwekwa jukwaa lingine!!Hii thread si imerudiwa? Jumatatu wiki hili sikumbuki, lakini niliichangia hii!
Ajabu hapa Tanzania sehemu ambazo ndizi ndio chakula kikuu ndiko Ukimwi unaongoza,nenda mkoa wa Mbeya na Kagera,huko ndizi ndio menu kubwa lakini gonjwa kwa saaana,hizi tafiti zingine bana ni uchuro mtupuVIPIMO vya kimaabara vya wanasayansi nchini Marekani vimebaini kuwa ndizi zina virutubisho maalumu viitwavyo BanLec ambavyo viko sawa na aina mbili za dawa zinazotumika katika kuzuia kuenea kwa virusi vya ukimwi.
Wanasayansi hao wamesema wanaamini virutubisho hivyo vya BanLec ni muhimu na vinaweza kuokoa maisha ya mamilioni ya watu.
Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti huo ambayo yameripotiwa katika jarida la Biological Chemistry la Michigan, virutubisho hivyo vinatokana na kemikali ambayo inazalishwa kiasili katika mimea ijulikanayo kama âlectinâ ambayo inapambana na magonjwa yanayoikumba mimea.
Watafiti hao wamegundua kuwa lectin iliyo ndani ya ndizi inaweza kukabiliana na madhara ya HIV kwa kuzuia virusi kuingia katika mwili wa binadamu.
BanLec hutumika kama bahasha maalumu ya kuhifadhia protini ambayo hudhibiti kubadilika kwa vinasaba vya vijidudu vya HIV.
Msimamizi mkuu wa jarida la kisayansi kutoka Chuo Kikuu cha Michigan, Michael Swanson alisema: âTatizo la baadhi ya dawa za kudhibiti HIV ni kuwa zinaweza kuzidiwa nguvu, lakini inakuwa vigumu zaidi zinapokuwa na lectin.
âLectin hujiunga na sukari inayopatikana katika nukta tofauti za bahasha za HIV-1, na inadhaniwa kuwa inaweza kuwa na nguvu zaidi ya kuzuia virusi kuikaribia.â
Source: Mwananchi
Ajabu hapa Tanzania sehemu ambazo ndizi ndio chakula kikuu ndiko Ukimwi unaongoza,nenda mkoa wa Mbeya na Kagera,huko ndizi ndio menu kubwa lakini gonjwa kwa saaana,hizi tafiti zingine bana ni uchuro mtupu
Labda kwa ngozi nyeusi ni Vise-versa!!Ajabu hapa Tanzania sehemu ambazo ndizi ndio chakula kikuu ndiko Ukimwi unaongoza,nenda mkoa wa Mbeya na Kagera,huko ndizi ndio menu kubwa lakini gonjwa kwa saaana,hizi tafiti zingine bana ni uchuro mtupu
Ajabu hapa Tanzania sehemu ambazo ndizi ndio chakula kikuu ndiko Ukimwi unaongoza,nenda mkoa wa Mbeya na Kagera,huko ndizi ndio menu kubwa lakini gonjwa kwa saaana,hizi tafiti zingine bana ni uchuro mtupu
Ajabu hapa Tanzania sehemu ambazo ndizi ndio chakula kikuu ndiko Ukimwi unaongoza,nenda mkoa wa Mbeya na Kagera,huko ndizi ndio menu kubwa lakini gonjwa kwa saaana,hizi tafiti zingine bana ni uchuro mtupu
Kula ndizi mbivu kumi kila baada ya ngono zembe moja.Dose yake ikoje ..??
Kula ndizi mbivu kumi kila baada ya ngono zembe moja.
Dah!!! hii kali.Kula ndizi mbivu kumi kila baada ya ngono zembe moja.
Hii Adhabu unaweza kumaliza ndizi kumi Bigirita ?