Natamani ninyamaze

Hii team basi tuu...ishanipunguzia kilo za kutosha mpaka ss,anyway COYG ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ
Mimi nilisha achana nayo kbsa nilikuwa naipenda sana ilishafanya nigombane na mtu nikiwa nasoma Lushoto diploma in law....Sasa hivi hata kwenye mikeka yangu huwa nairuka tu nikiwa nabet
 
Mimi nilisha achana nayo kbsa nilikuwa naipenda sana ilishafanya nigombane na mtu nikiwa nasoma Lushoto diploma in law....Sasa hivi hata kwenye mikeka yangu huwa nairuka tu nikiwa nabet
Mkuu umesoma IJASO sio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ