saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 100
du mkuu kweli?domo zege wakati hapa unaongea kweli kweli,au sababu ni keyboard inakusaidia?anyway nakutakia kheri najua utampata hapa.Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!!
Nahitaji mchumba...jinene hivi lakini si unene wa mchina, miaka 30 mpaka 35, elimu fomu 4 na kuendelea, awe na shughuli yake binafsi, asiwe na mtoto....barua ya kwanza CV na picha viambatanishwe......................:A S 8:
Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!!

mambo ya keyboard tu hayo mkuu.................du mkuu kweli?domo zege wakati hapa unaongea kweli kweli,au sababu ni keyboard inakusaidia?anyway nakutakia kheri najua utampata hapa.
awe na shughuli yake binafsi maana chenji itabidi tutafute kwa pamojaVp mambo yako ya chenjichenji, yamekaaje, mbona husemi, watakuuliza sasa hivi hao!? Kuna mwana-JF anayeendana kabisa na sifa hizo, atakutafuta soon!..ngoja nimpiemu!
awe na shughuli yake binafsi maana chenji itabidi tutafute kwa pamoja
Mbona kimya au ndiyo walengwa hawamo humu ndani.......???
maombi yaje jamani....mie ni mjasiriamali, nina banda langu la zuri tu la kuuza chips mitaa ya tabata pia nina bajaj 3 nimekodisha....We jieleze A to Z watu watajitokeza. Tatizo hamna anaetaka kuanza kukuuliza mambo yako vp, kazi wapi, wasifu, n.k so toa maelezo yote then barua za maombi zitakuja
Asante ila kama una dada ata rafiki mfikishie nae habari......mmm goodluck!,
Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!!
Nahitaji mchumba...jinene hivi lakini si unene wa mchina, miaka 30 mpaka 35, elimu fomu 4 na kuendelea, awe na shughuli yake binafsi, asiwe na mtoto....barua ya kwanza CV na picha viambatanishwe......................:A S 8:
Mbona kimya au ndiyo walengwa hawamo humu ndani.......???
Maskini mie jamani hivi nilichelewea wapi....hakika domo zege limenikosti???:target:hahahahahahaha hawa unawaona hapa wote wana wenyewe humu humu JF hivyo jaribu sehemu nyingine wa hapa umeshachelewa
SIFA MOJA YA MCHUMBA WAKO UMEISAHAU.......AWE NA HASIRA NA MAFISADI( Kama SIGNATURE yako inavyosomeka)Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!!
Nahitaji mchumba...jinene hivi lakini si unene wa mchina, miaka 30 mpaka 35, elimu fomu 4 na kuendelea, awe na shughuli yake binafsi, asiwe na mtoto....barua ya kwanza CV na picha viambatanishwe......................:A S 8:
mkuu.huyu jamaa kesha tamka wazi anataka bibie alie na shughuli yake binafsi,hii ina maana hizo changechange ni zake tu,bibie asizitegemee sana. MI naona kwa presentation ya huyu jamaa,itamcost kidogo,mtu alie na shughuli.......mhhhh na je shughuli ikikoma, atatoa talaka? au atatafuta mwingine?.........ningekuwa mimi ningeliedit kidogo bango lake. Unajua neno moja tu mwanamke atalifikiria sana, na kulitafsiri. Labda niseme dada zetu kwa mtizamo wangu wapo very sensitive and always should be handled with care! tusameheane kama nawakwaza.Vp mambo yako ya chenjichenji, yamekaaje, mbona husemi, watakuuliza sasa hivi hao!:becky:
Kuna mwana-JF anayeendana kabisa na sifa hizo, atakutafuta soon!..ngoja nimpiemu!
Wana JF mpaka sasa nashukuru nimepokei maombi 23....ila kati yao ni 12 tu ndiyo yametiza masharti ya maombi yaani kuambatanishwa kwa CV na picha!!! Mwisho wa kupokea maombi itakuwa Jumamosi tarehe 15 saa 9 mchana.....shime jitokezeni maana nipo MORE THAN SERIOUS na kwa wale watakao pita katika mchujo ningeomba wakubali mchakato mzima wa kumpata THE RIGHT ONE uwe wazi na kujadiliawa humu ndani.....maombi ya jinsi ya kuendesha zoezi hilo yanakaribishwa!!!