sunv Member Joined May 19, 2020 Posts 44 Reaction score 33 Dec 8, 2021 #1 Kama inavyojieleza Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 mpaka 25. Awe mwaminifu nimechoka kuumizwa.
Kama inavyojieleza Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 mpaka 25. Awe mwaminifu nimechoka kuumizwa.
Myahudi93 Senior Member Joined Nov 8, 2019 Posts 109 Reaction score 101 Dec 8, 2021 #2 sunv said: Kama inavyojieleza Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 mpaka 25. Awe mwaminifu nimechoka kuumizwa. Click to expand... Jinsi yako?
sunv said: Kama inavyojieleza Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 mpaka 25. Awe mwaminifu nimechoka kuumizwa. Click to expand... Jinsi yako?
sunv Member Joined May 19, 2020 Posts 44 Reaction score 33 Dec 8, 2021 Thread starter #3 Myahudi93 said: Jinsi yako? Click to expand... Wa kiume
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 56,190 Reaction score 56,449 Dec 8, 2021 #4 Kuumizwa ni sehemu ya maisha, kila la heri
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,704 Reaction score 9,144 Dec 8, 2021 #5 Pole sana, Mungu akupe haja ya moyo wako.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,777 Reaction score 139,316 Dec 9, 2021 #6 sunv said: Kama inavyojieleza Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 mpaka 25. Awe mwaminifu nimechoka kuumizwa. Click to expand... Kwa huo umri wa miaka 22 - 25, bado utaendelea tu kuumizwa.
sunv said: Kama inavyojieleza Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 mpaka 25. Awe mwaminifu nimechoka kuumizwa. Click to expand... Kwa huo umri wa miaka 22 - 25, bado utaendelea tu kuumizwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,008 Reaction score 197,602 Dec 9, 2021 #7 Kila la kheri...