Good luck...
Jamani wana JF kijana mwenzenu nimechoka kuwepo kuwepo sana kwa hiyo nataka kuoa hivyo nipo kwenye mchakato wa kumpata.
Wasifu wangu
- Umri, miaka 28
- Urefu, futi 6.0
- Dini, mkristu
- Kazi, nimejiajiri
- Kipato, cha wastani
- Napendelea kuchat, kubadilishana mawazo, michezo, muziki na kusikiliza vyombo vya habari na kuangalia filamu za kuchekesha..
Ningependa kupata rafiki/mchumba mwenye sifa hizi japo sio lazima awe nazo zote.
- Umri usiozidi miaka 30
- Asiwe mfupi sana
- Elimu isiyopungua ya sekondari
- Awe anafanya kazi
- Umbo la wastani
- Sibagui rangi (race)
Mwenye sifa hizi au baadhi asisite kutuma PM au aniandikie email kwa
email address meale2005@gmail.com au tuwasiliane kwa simu no. +255 772 884226
Je wewe ni jinsia gani na unge pendelea mchumba/rafiki wako awe jinsia gani? Maana for all we know you might be a 6' tall woman.
Jaribu hapa kaka, unaweza kubahatika, http://www.marafiki.com
Ukishindwa hapo jaribukujichanganya sometimes, Jolls Club au Billcanas... you never know!

eeeeh yu neva noo zea kuna wanaotafuta pia, Lol.Mhhh! we hunitakii mema. Mwishowe utasema niende corner bar sinza africa sana.
.....Vp hapo mtaani unakoishi hakuna wasichana, kanisani je? Hapa bongo wasichana wapo wengi hujawaona au mdomo mzito!!!!
Jipe moyo labda unaweza kuopoa hapa JF.
lakini huyu jamaa kweli mchumba atampatia hapa JF ....