wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
CCM ya sasa hasa awamu hii ya nne imekosa heshima na utulivu na hii ni kwa sababu ya viongozi wake kuwa bigeugeu na kutokuwa na msimamo huku wakijitengenezea maslahi viongozi kulinda uvundo Nape ni jangaView attachment 240585
"Zamani sisi ndani ya chama ukisikia Msemaji wa Chama akikutana na waandishi wa habari atakachoanza kusema ni hivi..... " Kikao flani (CC, NEC etc) kilichoketi tarehe chini ya Mwenyekiti wake flani kimeazimia yafuatayo.........."
Huu ndo utaratibu sasa anapotokea mtu na kutamka yake basi hayo yanakuwa yake si ya Chama. Ndani ya CCM huo utaratibu haupo hata kidogo....
Na nashangaa Viongozi nao wamekaa kimya huku ni kukiua Chama. Watafurahia leo kashambuliwa flani ila hawawezi jua kwamba kesho yaweza kuwa ni wao..... Mambo kama haya lazma yakemewe....."
BY : Abeid Amani Karume
View attachment 240585