wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,752 Reaction score 3,634 Nov 14, 2026 #21 min -me said: Hapa nilipo naishi ugenini , ila nina kijigari changu ila mtoto wadada anakitumia , kikatili mno ila kiukweli mimi naumua mno . Na kiukweli nimehama jimbo tu , nipunguze gharama za maisha. Click to expand... Kile ni kigari au mkangafu? Tafuta pesa mangi, kulia lia hakukusaidii
min -me said: Hapa nilipo naishi ugenini , ila nina kijigari changu ila mtoto wadada anakitumia , kikatili mno ila kiukweli mimi naumua mno . Na kiukweli nimehama jimbo tu , nipunguze gharama za maisha. Click to expand... Kile ni kigari au mkangafu? Tafuta pesa mangi, kulia lia hakukusaidii
Castle_Lite JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 4,965 Reaction score 11,267 Nov 14, 2026 #22 min -me said: Hapa nilipo naishi ugenini , ila nina kijigari changu ila mtoto wadada anakitumia , kikatili mno ila kiukweli mimi naumua mno . Na kiukweli nimehama jimbo tu , nipunguze gharama za maisha. Click to expand... Bro wangu. Wakati Huyo mpwa wako anatumia hiyo gar yako. Ww unakuwa wap?.
min -me said: Hapa nilipo naishi ugenini , ila nina kijigari changu ila mtoto wadada anakitumia , kikatili mno ila kiukweli mimi naumua mno . Na kiukweli nimehama jimbo tu , nipunguze gharama za maisha. Click to expand... Bro wangu. Wakati Huyo mpwa wako anatumia hiyo gar yako. Ww unakuwa wap?.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,758 Reaction score 158,766 Nov 15, 2026 #23 min -me said: Cc ,Kiranga Click to expand... Mwana unakuja New York mimi nimetoka New York nipo DMV.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,210 Reaction score 197,736 Nov 15, 2026 #24 Pole sana... Cc: Mahondaw