Nani wa kumfunga Simba SC?

kibaigwa finest

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2026
Posts
649
Reaction score
732
JKT Tanzania watakuwa wenyeji wa Simba SC leo tarehe 21 Novemba 2026, saa 12:30 jioni (18:30) kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Simba wanaingia kwenye mechi hii wakiwa kileleni mwa ligi bila kupoteza mchezo wowote, wakati JKT wanatafuta kusogea kwenye nafasi za juu.
 
Mambo ya Simba nayo yanakuhusu wewe mbona una kisebengo sana mgogo mshamba wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…