wote wawili ni wa kulaumiwa,
Kwanza kwa mume kutembea nje ya ndoa yake na kupoteza pesa nyuingi huko.
Kosa lake la pili laikanywa lakini bado akaendelea kwa siri
Mke naye ana makosa kwa kuamua kulipiza, angetafuta njia nyingine ya kutatua huo mgogoro badala ya kuchukua uamuzi kama huo, angeenda kuwaona wazee, mshenga viongozi wao wa dini kwa ufumbuzi.
Lakini sasa hta wakiamua kusuluhishana mwananmke ataonekana ana makosa kwamba kama ulijua kwa nini hukuja kusema, halafu yule ni mume wake wa ndoa asingetakiwa kumlipisha, labda angemwambia watumie kinga ndo lingekuwa la maana kwa sababu hamuamini tena.
Kutengana siyo suluhisho hata huyo aliyenaye akitoka nje na yeye atatafuta mwanume mwingine? si atamaliza dunia nzima.
Nyamayao huyo rafiki yako mjinga kweli kwa hiyo analipiza kisasi???
Mjinga mwambie watu hawaendi hivyo lazima ajichunguze kwa nini mmewe anakubali kutoa elfu 30/= kwa bao? Basi anapata kitu adimu kutoka kwa huyo dada wa saloon.
dada huyo wifi yetu naye kiboko? kwa nini amekubali kulipiza katika mapenzi? angekaa na mumewe amweleze yote anayoyajua kisha aulize mapungufu yake
ndoa ikiwa na mwaka jamaa alikutwa mchana na mkewe wakijivinjari chumbani kwa house gal, mdada alihuzunika sana akaombwa msamaha yakaisha, baada ya muda kidogo akackia jamaa ana mrembo na ana mimba, hajakaa sawa anaambiwa jamaa anatembea na sekretari wake, mara mrembo wa saloon, naona akayajumlisha akaamua na kutoa hapo hapo....
Dah jamaa kweli kidume kweli kweli anatembeza sana bakora kha!
Hehehe anakunywa sana supu ya pweza nini au ndo mambo ya matikiti kwa wingi Nyamayao?
ameshamkalisha chini sana tu kwa kweli na mie mwenyewe nikiwa shahidi....mdada ana akili ya maisha sana na mie mwenyewe nikamwambia hii rafu kwa ninavyokujua umeicheza ili ndoa ife kibudu, akaniambia ni kweli yaani nimetafuta kitu ambacho ctaki 2je aniombee msamaha wa kurudiana wala nini na hata akienda kuwaelezea ndugu zake nao wamwonye kunirudia....
yaani ujue kweli tunawavumilia kwa mengi luv.....nadhani ni mambo ya matikiti hayo mashine 24 hrs ipo kazini...lol
yaani game over kabisaaaa...anasema na yule mkaka anamwacha mana alikuwa hahitaji mapenzi na alichokitaka kimefanikiwa.... anaanza maisha moja.
Tamwachaje kwani mkaka alikuwa anajuwa lengo la huyo dada au walikubaliana kuwa zoezi nikufanikisha hilo suala au hakunogewa au hakumpa?
Mbona hapo anajikang'ang'anya tu maake siyo rahis kuvunja na kukaa kwa kuwa yule aliyenaye mpya hawjagombana.
yaani game over kabisaaaa...anasema na yule mkaka anamwacha mana alikuwa hahitaji mapenzi na alichokitaka kimefanikiwa.... anaanza maisha moja.
wa kulaumiwa mwanamke.....huwezi kumtoza kilo nzima kwa bao.....angefanya hata 35k....
huyo mke wake basi angepunguza bei iwe 30k kama kwa hawara......jamaa hilo ndio alikuwa hataki kulickia kabisaaaa, na wife ndio ameshikilia bango kabla ya sex nishikishe laki, mbona huko kwingine ukiambiwa unatoa?