nakupa code

Naomba uorodheshe faida zake
kwa wale wadada wanaopenda kuwa na ngozi nyororo kuglow hiyo inasaidia
kupunguza mwili
kusafisha kizazi na kuondoa ukavu wa uke
faida ni nyingi sema mie mvivu kuandika
 
Huo ni mchanganyiko wa biochemicals ambazo hajizapimwa ukubwa (volume) na shinikizo (concentration) yake
mmm vivyo ni viungo tu vya chakula kama viungo vingine
any way usitake kuniambia mpaka sasa unatumia majani ya chai kutengenezea kifungua kinywa chako asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…