Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,595
- 146,540
Mkuu pole sana. Habari ndiyo hiyo.....
Yaani hapo ndio chanzo cha matatizo yote!!!!Kwanza kwa nini alimpeleka mtoto kumuona baba na si baba kuja kumuona mwanae ?
Ila mambo ya kuibiana mie sisemi neno
Daah...asante babu. Niliumia sana aisee. Usiku nilikuwa silali nikimpiga picha kichwani njemba iko juu ya kiuno chake. Usiombee ukutwe na hii hali aisee. Maisha utayaona machungu.
Ni kweli, hii thread awali ilikuwa imeanzishwa na Nyani Ngabu. Sasa niliporudi hapa tena, nikakuta jina lingine, eti imeanzishwa na Brasil. Na wakati mwingine anajiita Julius. Sasa MODs naomba wamdhibiti Mod mwenzao, kama itakuwa watu wanajibadilishia majina hovyo hovyo, wengine tutajikuta tumejiingiza kwenye name calling bila kupenda. Ukitaka kuamini kuwa awali alikuwa ni Nyani Ngabu, angalia hapo juu kwenye post ya Ngoshwe, ambapo alikuwa akimjibu Nyani Ngabu.NN hapa maumivu yako ni ya hisia tu. .
Yaani hapo ndio chanzo cha matatizo yote!!!!
Daah...asante babu. Niliumia sana aisee. Usiku nilikuwa silali nikimpiga picha kichwani njemba iko juu ya kiuno chake. Usiombee ukutwe na hii hali aisee. Maisha utayaona machungu.
Kwanza kwa nini alimpeleka mtoto kumuona baba na si baba kuja kumuona mwanae ?
Ila mambo ya kuibiana mie sisemi neno
Kwanza kwa nini alimpeleka mtoto kumuona baba na si baba kuja kumuona mwanae ?
Ila mambo ya kuibiana mie sisemi neno