Mjukuu hamjatosheka kudhalilisha wazee si ndio we gen zee?Sijambo bibi angu wa alf2 ila mjukuu wako naomba unifungulie piemu
πππππππKaribu sana Mgeni hapa JF, naona umeamua uwe verified kabisa.
Gen Z mwenyewe, uko winja winja.
π₯π₯π₯
Ungetuwekea yako tukose usingizi sio kwa muonekano huoππππ₯Aisee π€£, umeona haitoshi na picha juu,
Kweli hiki kizazi cha nyoka
Ila wewe!! Kwanini sasa? πππNilidhani nimeona peke yangu
Babee hutaki ka Gen Z haka upoe nako??πππππππ
Hapana bibi mimi genzee niliostaarabika sitarekodMjukuu hamjatosheka kudhalilisha wazee si ndio we gen zee?
Kuna shida mdogo wangu sio bureUngetuwekea yako tukose usingizi sio kwa muonekano huoππππ₯
Sawa nitumie kazi zako nizione ili nijiridhishe kwanzaHapana bibi mimi genzee niliostaarabika sitarekod
SitarekodπππSawa nitumie kazi zako nizione ili nijiridhishe kwanza
Uko na evidence ya kusuport maelezo yako?Sitarekodπππ
Fungua piemu nikupatieUko na evidence ya kusuport maelezo yako?