little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,491
- 4,903
.............. to talk openly.Aisee 🤣, umeona haitoshi na picha juu,
Kweli hiki kizazi cha nyoka
Wala sihitaji kukushawishi,mimi hua sishawishi mtu aisee,🤣🤣🤣 hata kama lingekuwa la gold
bado hujanishawishi
kwann wew jibu hili swali
Nimeona tu nitafute wa kukupunguzia majukumu coz nakuonea huruma Kipenzi ChanguIna maana crushie umeanza kunionesha wazi wazi hunitaki?
Yaaaaaani unataka kukaza mtu mbele yangu aise
Nimeona tu nitafute wa kukupunguzia majukumu coz nakuonea huruma Kipenzi Changu
joanah ndio mpambe wakoWala sihitaji kukushawishi,mimi hua sishawishi mtu aisee,
Ila utanikumbuka,hata Joanah akisikia atakushangaa sana kwa kupishana na maisha bora.
joanah ndio mpambe wako
wenye maisha bora hawajisemi
nikukumbuke kwapi we kiazi
Basi acha nimpotezee tu huyu La gioconda asije akasababisha wanetu walelewe na mzazi mmoja,Loooh!! Fresh tu sema sio lazima nikuelewe
Kwanini uniite kiazi? tatizo nini?joanah ndio mpambe wako
wenye maisha bora hawajisemi
nikukumbuke kwa lipi we kiazi
Kama huyo ni bwamdogo kwako wewe utakuwa mshangazi wa 1975Aisee nimekupenda bure bwana mdogo hebu nipe namba zako kwanza!
tamaa zitakuponza joanah mshughulikie mwenzako ipasavyo tamaa zimuisheBasi acha nimpotezee tu huyu La gioconda asije akasababisha wanetu walelewe na mzazi mmoja,
Haya tukaoge sasa ili upunguze joto la hasira Kikubwa Pumzi Maisha na afya
take it easy bro ni utani tuKwanini uniite kiazi? tatizo nini?
Kumbe ulichukulia serious?
Aisee kwenye maneno ya kukashifiana usifike kabisa huko,usije kusema sikukwambia mapema.
Basi acha nimpotezee tu huyu La gioconda asije akasababisha wanetu walelewe na mzazi mmoja,
Haya tukaoge sasa ili upunguze joto la hasira Kikubwa Pumzi Maisha na afya
Nipigie baadae,nimebeba gunia la viazi muda huu,halafu tajiri yangu ni mkorofi sana kwenye kazi zake,Pokea simu 🤣🤣
Kwa sababu wewe ni kiazi kweli!!! 😂Kwanini uniite kiazi? tatizo nini?
Kumbe ulichukulia serious?
Aisee kwenye maneno ya kukashifiana usifike kabisa huko,usije kusema sikukwambia mapema.
Nipigie baadae,nimebeba gunia la viazi muda huu,halafu tajiri yangu ni mkorofi sana kwenye kazi zake,
Una mia ya karibu hapo ili japo nipate maji ya kunywa ya kifuko?
Nimeiona tajiri,Nimekutumia mia mbili, umeiona? Ama nikupigie tena?
Kiazi ni mamako anaye gawa kwa mabodaboda.Kwa sababu wewe ni kiazi kweli!!! 😂
Tufanye kama si kuwepo, mkuu🏃♂️
Umelaaniwa nakwambiaKiazi ni mamako anaye gawa kwa mabodaboda.