mimi George Porjie, nikiwa na akili timamu na wala sijalazimishwa na mtu yoyote, najitokeza mbele yenu wanajamii wote wa JF na wengineo, ili muwe mashahihidi wangu. leo kwa dhati kabisa toka ndani ya moyo wangu pasina kushurutishwa na mtu yoyote, kwani moyo wangu umekua ukiniuma sana hasa pale nimuonapo mai waifu wangu kwamba kuna kipindi nilikua namchiti.
Hivi ukiupeleka huu ujumbe kwake na yeye akakujibu vivyo hivyo kuwa nae ana confess what will you do?
mimi George Porjie, nikiwa na akili timamu na wala sijalazimishwa na mtu yoyote, najitokeza mbele yenu wanajamii wote wa JF na wengineo, ili muwe mashahihidi wangu. leo kwa dhati kabisa toka ndani ya moyo wangu pasina kushurutishwa na mtu yoyote, kwani moyo wangu umekua ukiniuma sana hasa pale nimuonapo mai waifu wangu kwamba kuna kipindi nilikua namchiti. roho ilinimua sana tena inaniuma sana kuona napata na ninapewa kila nikitakacho toka kwake (yale yaliyo halalishwa only) na mengine ni zaidi na matamu kuliko huko vichochoroni, nimekuja kugundua kwamba mwisho wa siku ladha, utamu na mengineyo ni sawa sawa kwa wanawake wote, kwani simu ni simu tu mambo ya kwamba ina kamera, ina slide au ina bluututhi hizo ni mbwembwe tuu!!.
napenda pia kuchukua fursa hii kutubu kwa mai waifu wangu popote alipo kwamba anisamehe sana na nina ahidi kuanzia leo kwamba mimi na yeye ni kufa na kuzikana. na wala sitarudia tena kumchiti.
wanaJF wenzangu, mabinamu, mashemeji na wazee wa kujiexpress jamani nyama ni nyama, tutamaliza mabucha but nyama ni ile ile, tubadilike.
nimeamua kubadilika kuanzia sasa.
oui, j'ai décidé de me changer, parce que la charité commencent à la maison .
eeeh Mwenyezi Mungu nisamehee kwa kumchiti mai waifu wangu.

oui, j'ai décidé de me changer, parce que la charité commencent à la maison….
eeeh Mwenyezi Mungu nisamehee kwa kumchiti mai waifu wangu.
haya nenda kaandae romantic dinner umpe hiyo confiession yako
Umeulizwa swali - je naye aka confess kwako kama ulivyoconfess kwake....seriously utasamehe au unafurahisha baraza?nitakubali tu mkuu, si unajua maji umeyavulia nguo huna budi kuyaoga. nitapokea confession yake kwa mikono miwili kabisa ili tusahau na kuanza upya.
mpwa nimeamua kubadili maisha yangu kwa kuanza kutubu. natafuta pozi la kumuingia ili anielewe
mimi George Porjie, nikiwa na akili timamu na wala sijalazimishwa na mtu yoyote, najitokeza mbele yenu wanajamii wote wa JF na wengineo, ili muwe mashahihidi wangu. leo kwa dhati kabisa toka ndani ya moyo wangu pasina kushurutishwa na mtu yoyote, kwani moyo wangu umekua ukiniuma sana hasa pale nimuonapo mai waifu wangu kwamba kuna kipindi nilikua namchiti. roho ilinimua sana tena inaniuma sana kuona napata na ninapewa kila nikitakacho toka kwake (yale yaliyo halalishwa only) na mengine ni zaidi na matamu kuliko huko vichochoroni, nimekuja kugundua kwamba mwisho wa siku ladha, utamu na mengineyo ni sawa sawa kwa wanawake wote, kwani simu ni simu tu mambo ya kwamba ina kamera, ina slide au ina bluututhi hizo ni mbwembwe tuu!!.
napenda pia kuchukua fursa hii kutubu kwa mai waifu wangu popote alipo kwamba anisamehe sana na nina ahidi kuanzia leo kwamba mimi na yeye ni kufa na kuzikana. na wala sitarudia tena kumchiti.
wanaJF wenzangu, mabinamu, mashemeji na wazee wa kujiexpress jamani nyama ni nyama, tutamaliza mabucha but nyama ni ile ile, tubadilike.
nimeamua kubadilika kuanzia sasa.
oui, j'ai décidé de me changer, parce que la charité commencent à la maison .
eeeh Mwenyezi Mungu nisamehee kwa kumchiti mai waifu wangu.
au ile vacation ndo ulikuwa umeoa?
Umeoa lini wewe kijana au ndo unatuzuga?
Mtoto kamaliza juzi chuo na yuko kwao wewe upo kwenu ndo mlikuwa na mpango mkapange mkazinguana leo hii unamwomba msamaha your wife?
Are you serious?????
Kukuonea huruma nisianike vyoote nipm na uniombe msamaha na topic uitoe hapa asap