Najaribu kutafakari hizi kauli za viongozi wetu wa siasa kila mmoja ametoa kauli yake nataka kujua hizi kauli kuhusu Mwenge wa Uhuru walikua na maana gani!Naomba kama kuna mwingine mwenye kujua hatma ya mwenge huu nini suluhisho lake hapo baadae achangie mada hii! Merry Xmass & Happy New 2011:help:
- Mwalimu Julius Nyerere (Baba wa Taifa) yeye alisemange uwamulike na kuwachoma maadui zetu na kulinda mipaka yetu.
- Augustino Lyatonga Mrema (Mbunge wa Vunjo) yeye alisema akipata ridhaa ya kuwa raisi wa nnshii hii kupitia tiketi ya chama cha NCCR Mageuzi atapiga marufuku mwenge wa Uhuru kwakua umepitwa na wakati.
- Dr. Wilbrod Slaa naye alisema akiwa kwenye kampeni zake za kuwania Uraisi kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kua Mwenge atauweka kwenye jumba la makumbusho.
Kuharibu pesaNajaribu kutafakari hizi kauli za viongozi wetu wa siasa kila mmoja ametoa kauli yake nataka kujua hizi kauli kuhusu Mwenge wa Uhuru walikua na maana gani!
Naomba kama kuna mwingine mwenye kujua hatma ya mwenge huu nini suluhisho lake hapo baadae achangie mada hii! Merry Xmass & Happy New 2011:help:
- Mwalimu Julius Nyerere (Baba wa Taifa) yeye alisemange uwamulike na kuwachoma maadui zetu na kulinda mipaka yetu.
- Augustino Lyatonga Mrema (Mbunge wa Vunjo) yeye alisema akipata ridhaa ya kuwa raisi wa nnshii hii kupitia tiketi ya chama cha NCCR Mageuzi atapiga marufuku mwenge wa Uhuru kwakua umepitwa na wakati.
- Dr. Wilbrod Slaa naye alisema akiwa kwenye kampeni zake za kuwania Uraisi kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kua Mwenge atauweka kwenye jumba la makumbusho.
kwakuwa nimekimbiza mwenge nchi nzima simuelewi mtu yeyote anaesema mwenge umepitwa na wakati akiwemo huyo Mrema.anayejua kazi yake hebu anambie kwani kila mwaka lazima ukimbizwe mikoa yote
Upo sana na utaendelea kuwepo.Hivi bado upo?
Nakubaliana na Dr Slaa kwenye hilo.Najaribu kutafakari hizi kauli za viongozi wetu wa siasa kila mmoja ametoa kauli yake nataka kujua hizi kauli kuhusu Mwenge wa Uhuru walikua na maana gani!