S Sley Shabani Rashid Member Joined Dec 25, 2022 Posts 87 Reaction score 119 Oct 17, 2026 #1 Kampuni inahitaji mashamba ukanda wa pwani kama unafahama mmiliki mashamba ukanda huo nitafute
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,472 Reaction score 5,410 Oct 17, 2026 #2 Sley Shabani Rashid said: Kampuni inahitaji mashamba ukanda wa pwani kama unafahama mmiliki mashamba ukanda huo nitafute Click to expand... UNATAKA EKA NGAPI MKUU??
Sley Shabani Rashid said: Kampuni inahitaji mashamba ukanda wa pwani kama unafahama mmiliki mashamba ukanda huo nitafute Click to expand... UNATAKA EKA NGAPI MKUU??
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 47,188 Reaction score 58,953 Oct 17, 2026 #3 Unatafuta mashamba kama unatafuta ndugu zako wa kijijini kweli🤔🤔🤔
Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,661 Reaction score 7,247 Oct 17, 2026 #4 Mbona maelezo ni mafupi sana? Utapata kweli wewe shamba?
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,267 Reaction score 12,736 Oct 18, 2026 #5 Inatafuta mashamba ama washamba? Una hakika ni kampuni mkuu? Na wewe ndio unawataftia kwa stail hii? Kama ni kweli basi utaiingizia kampuni hasara
Inatafuta mashamba ama washamba? Una hakika ni kampuni mkuu? Na wewe ndio unawataftia kwa stail hii? Kama ni kweli basi utaiingizia kampuni hasara
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 2,944 Reaction score 6,211 Oct 18, 2026 #6 Norshad said: Inatafuta mashamba ama washamba? Una hakika ni kampuni mkuu? Na wewe ndio unawataftia kwa stail hii? Kama ni kweli basi utaiingizia kampuni hasara Click to expand... Nakazia
Norshad said: Inatafuta mashamba ama washamba? Una hakika ni kampuni mkuu? Na wewe ndio unawataftia kwa stail hii? Kama ni kweli basi utaiingizia kampuni hasara Click to expand... Nakazia