Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,135
nadhani mwanadamu alianza kusambaratika pale mnara wa babel ulivyosambaratika.......watu walitawanyika kila mahali na kuongea lugha mbalimbali.....kwa maana hiyo kila sehemu walipokwenda ndivyo walivyozidi kubadilika kutokana na hali ya hewa...ila sina uhakika original alikuwa ni nani......kuhusu kuzaliana ni kweli walizaliana wao kwa wao kutokana na kuwa walikuwa wapo wenyewe na uzazi ulikuwa lazima ufanyike....kadri watu walivyoongezeka ndivyo wigo ulivyozidi kupanuka na sio kweli kuwa waliokuwa wanazaliwa walikuwa wanaume tu...hapana.....wanawake walikuwepo mfano kina sara, rebecca, esta, n.k, ila wanaume ndio waliokuwa wanahesabiwa kama kizazi kamili....nafikiri nimejaribu kukuelewesha
Sasa Easymutant we umeona mtu mweusi(Mwafrica) tu ndo ajabu? Vipi watu wa rangi nyingine kama wahindi wachina na waarabu? Au unadhani mzungu kwa mzungu wanaweza kuzaa mchina? Au kwako wachina na wahindi na wengineo ni wazungu? That issue is more than "mtu mweusi"
naomba kueleweshwa kwa mwenye ufahamu na hili ni katika kueleweshana
Na vitabu amabayo tulikuwa tunafundishiwa ni vile vyenye picha za adam na hawa na wengine wote ambao inaonyesha kwamba
Walikuwa ni watu weupe ambao niliamini niwazungu. Sasa najiuliza kama original ya adam na hawa walikuwa ni wazungu na ndio tunaaminishwa kwamba walikuwa ni wanadamu wa kwanza
Swali lako zuri sana na pia maswali ni mengi sana mno kujua mtu mweusi alitoka wapi? Jiulize pia kwenye vitabu vya dini tunaona watakatifu wote ni weupe (wazungu) hata pia Malaika ni weupe (wazungu) lakini ukiangalia picha ya Shetani ni Mweusi kama Mkaa kwahiyo uliza pia swali hili je mtu mweusi naye ni kizazi cha SHETANI????
naomba kueleweshwa kwa mwenye ufahamu na hili ni katika kueleweshana
Naomba lisiwe na chembe za udini japo source yake imetoka kwenye bible bible hivi..
Nikiwa nimekulia na kulelewa katika mazingira ya dini ya kikiristo tulikuwa tukionyeswa vitabu
Na vitabu amabayo tulikuwa tunafundishiwa ni vile vyenye picha za adam na hawa na wengine wote ambao inaonyesha kwamba
Walikuwa ni watu weupe ambao niliamini niwazungu. Sasa najiuliza kama original ya adam na hawa walikuwa ni wazungu na ndio tunaaminishwa kwamba walikuwa ni wanadamu wa kwanza
Kabisa kuishi duniani je mie mtu mweusi nilitoka wapi? Maana siamini mzungu na mzungu wanaweza kuzaa mtu full black kabisa.
Kingine kinachonichanganya je zamani waliruhusiwa kaka na dada kuoana? Maana kama adamu na hawa ndo wakwanza it means waliozaliwa ni watoto je walijijenerate namna gani
Na isitoshe waliozaliwa tunaambiwa walikuwa wa jinsia moja wanaume tupu sasa hapo ndo sielewi kabisa msaada jamani!!!
@ Easymutant itakua biblia inadanganya maana. Wakati wa adam na hawa hapakua na camera sasa walipatikanaje kupigwa picha? Hizo ni propaganda za wazungu kutaka kuwatawala watu kimawazo na waafrika wameshatawaliwa.
Ktk lugha ya kiarabu neno "adam" maana yake ni kitu cheusi. Kwa hiyo yule aliitwa adam kwakua alikua mweusi.
Ukitaka kuelewa kila jambo. Nakushauri ingia ktk uislam au soma qur-an kwa undani utapata mpaka historia ya kweli sio ile iliyochafuliwa kwa maslah ya wazungu.
Anahitaji jibu hapa, sasa hadi aingie uisilamu, ajifunze quran halafu aijue kwa undani ndiyo apate jibu, kwa nini usiweke hapa yale uyajuayo kutoka kwenye uisilamu ili ajue jibu la swali lake? Waisilamu bwana, watata kama kilivyo kitabu chao !...
Ukitaka kuelewa kila jambo. Nakushauri ingia ktk uislam au soma qur-an kwa undani utapata mpaka historia ya kweli sio ile iliyochafuliwa kwa maslah ya wazungu.
Anahitaji jibu hapa, sasa hadi aingie uisilamu, ajifunze quran halafu aijue kwa undani ndiyo apate jibu, kwa nini usiweke hapa yale uyajuayo kutoka kwenye uisilamu ili ajue jibu la swali lake? Waisilamu bwana, watata kama kilivyo kitabu chao !
Kama Adam ni kitu cheusi na Koran inasema hivyo hao weupe walitoka wapi? Au unataka tukatae utawala wa wazungu tufuate wa Waarabu? Na kama Bible inadanganya basi Koran ndio funga kazi kwa uongo!
Halafu jaribu kuja na facts na sio ujanja ujanja wa oooh sijiu Koran nini lete vitu detailed ili kama tutakubaliana na wewe tufuate huo Uislam . Siyo una-generelalize tu Biblia inadanganya.
Huwezi kupata ukweli isipokuwa kutoka kwenye Biblia na true science combined.Kukataa ukweli huu ni kwamba you prefer lies.Link ninayokupa itakupa ukweli wa biblia and true science.naomba kueleweshwa kwa mwenye ufahamu na hili ni katika kueleweshana