Hana jinsi hata akibadili jina Baba atabaki kuwa baba tu hata akifanya nini hakuna kitachochange hapo awe mpole tu. Wanaume ndo walivyo
Hmm..tukoje Dena?
Massawe, Mushi, Mboya, Chuwa, KIssima, Lema, Mallya - chagua mojawapo lakini gharama yake ni mbuzi
Massawe, Mushi, Mboya, Chuwa, KIssima, Lema, Mallya - chagua mojawapo lakini gharama yake ni mbuzi
apewe la mama yake!kwani inapunguza nini..?
kweli kabisa. Mi nna sista angu ana mtoto toka hajazaliwa babake alimkataa,sasa ana three years kampa majina ya upande wa kwao yote matatu. Kuna kipindi babake akaja ati mtt abadilishwe jina,wee alimtimua vibaya sana. Na mbaya zaidi hatoi hata senti tano yake kumtunza mtt,sasa kuna haja gani kumpa jina lake! Mtto anahitaj matunzo ya wazazi wote toka mdogo sasa kama alipotea toka akiwa kichanga kuna haja gani ya kumpa jina lake?
Simple!!! Apewe la baba assume baba amefariki na hakuna matunzo kutoka upande wake, mtoto atapewa jina la nani?
Usikute kamsingizia jamaa huyo mtoto-kigugumizi cha nini?sorry to say ila kinamama hawaaminiki katika swala la nani ni baba halisi wa mtoto.
kweli kabisa. Mi nna sista angu ana mtoto toka hajazaliwa babake alimkataa,sasa ana three years kampa majina ya upande wa kwao yote matatu. Kuna kipindi babake akaja ati mtt abadilishwe jina,wee alimtimua vibaya sana. Na mbaya zaidi hatoi hata senti tano yake kumtunza mtt,sasa kuna haja gani kumpa jina lake! Mtto anahitaj matunzo ya wazazi wote toka mdogo sasa kama alipotea toka akiwa kichanga kuna haja gani ya kumpa jina lake?
there are alot of dads but very few r fathers. Hapo mtoto akikua akafanikiwa atajileta.. walahi ntasaidia kumkimbiza na mawe. LohNani kama baba?!! Haijalishi kama anamtunza au hamtunzi lakini ndo mzazi wake (baba yake). Ndo kamzaa kutoka viunoni mwake. Hiyo mtu hawezi kubadili. Kumbe aitwe jina la baba yake mzazi tu. Hakuna jinsi. Mtu huwezi kujichagulia wa kukuzaa.