carmel naomba unielewe toka naanza uhusiano naye ilikuwa haturidhishani tukajua kuwa tukishajuliana mambo yatakwenda sawa sio kwamba baada ya kupata demu mwingine ndo nimemuona yeye si mtamu hapana nieleweni wana jamii
Be specific hapa haiwezi ikawa kwa pande zote lazima ni mmoja tu hapa goigoi! we unaweza sema kwa huyo demu wako mwingine unasikia raha labda yeye anakutega tuu hapati kitu ila kukwambia anaona soo!tukiwa kwenye tendo lile la baba na mama (tendo la ndoa) hata hakati kiu yangu hali kadhalika kwake hata mimi sikati kiu yake,
Kwa maelezo yako haya naona we ushaamua moja na mawazo umeyadirect kwa huyo mwingine so ili usizidi kumuumiza huyo mchumba wako mpe live! ingekua vizuri ungeleta hii stori kabla hujapata huyo demu mwingine na hapa kukubadili wewe naona itakua shida!kimey sikia hata kama yeye hapati raha mimi napata raha isiyo kuwa na kifani na ukweli siwezi kupitisha siku bila kufanya na mapenzi isipokuwa simba wakiwa uwanjani huwa hatufanyi. Na pia nilishamchukia mpenzi wangu na hata tukilala wote siwezi kufanya naye mapenzi zaidi ya kukumbatiana na wala jogoo hawiki.
wee chalii bana! sasa kama hum-feel unafikiri uta-enjoy aje sasa?kimey sikia hata kama yeye hapati raha mimi napata raha isiyo kuwa na kifani na ukweli siwezi kupitisha siku bila kufanya na mapenzi isipokuwa simba wakiwa uwanjani huwa hatufanyi. Na pia nilishamchukia mpenzi wangu na hata tukilala wote siwezi kufanya naye mapenzi zaidi ya kukumbatiana na wala jogoo hawiki.
kimey sikia hata kama yeye hapati raha mimi napata raha isiyo kuwa na kifani na ukweli siwezi kupitisha siku bila kufanya na mapenzi isipokuwa simba wakiwa uwanjani huwa hatufanyi. Na pia nilishamchukia mpenzi wangu na hata tukilala wote siwezi kufanya naye mapenzi zaidi ya kukumbatiana na wala jogoo hawiki.
kiuno anakata sana ila ndo hivyo yaani naona niko kama nafanya mapenzi na dada yangu.Na mbaya zaidi ni kwamba nimeshamchuaki na huwezi kuishi na mtu ambaye humpendi itakuwa ni ugomvi kila siku maana kwa sasa hata sina naye mawasiliano zaidi ya yeye ndo huwa ananipigia na akitaka kuonana na mimi namwambia sina muda na wala hakati tamaa.
Wewe kumbe shida ni kwamba unafanya sana na huyo mwingine kiasi kwamba ukienda kwa mchumba wako unakuwa umeshachoka, kama ni hivyo hutakaa umridhishe na wewe hutakaa uridhike. Mimi naona tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi unahitaji kutulia na kuamua yupi unataka uwe nae. Amua leo unayemtaka, kwani huyo anayekuridhisha hafai kuwa mke?chickdee.....
kimey sikia hata kama yeye hapati raha mimi napata raha isiyo kuwa na kifani na ukweli siwezi kupitisha siku bila kufanya na mapenzi isipokuwa simba wakiwa uwanjani huwa hatufanyi....................
kimey sikia hata kama yeye hapati raha mimi napata raha isiyo kuwa na kifani na ukweli siwezi kupitisha siku bila kufanya na mapenzi isipokuwa simba wakiwa uwanjani huwa hatufanyi. Na pia nilishamchukia mpenzi wangu na hata tukilala wote siwezi kufanya naye mapenzi zaidi ya kukumbatiana na wala jogoo hawiki.[/QUOTE]
ww huyu mpenzi wako kama unamchukia si umuache, na inaonyesha haukumpenda tangia mwanzoni na haukuwa na nia naye ya kuwa mchumba wako ila ulikuwa na unataka ngono (INABIDI UOMBEWE ILI PEPO LA NGONO LIKUTOKE)
Je unajua nia ya huyo demu ni nini? Maana kuna mademu wengine wanaweza kukupa service ya aina yake wakiwa na sababu fulani juu yako (e.g. pesa, nafasi yako). Hivyo anakuchanganya akili kadri awezavyo ili akupumbaze halafu atakaporidhisha nia yake anakukimbia na kwenda kwa mwingine NA UTAMKUMBUKA HUYO MCHUMBA WAKO.
MAPEPO YAMEKUINGIA TENA PEPO MBAYA WA NGONO..
this is what i am talking about. Wewe ushaonja huko na kufikia conclusion kuwa huyu hakufai so be honest to her and let her go. Haya mambo pyschology inachangia sana, ukiuambia ubongo wako huyu haniridhishi na wenyewe unact hivyohivyo so hata huyo jogoo hawezi kuwika. Na ndoa hapa haiwezekani nionavyo mimi msipotezeane muda na kuumizana nyoyo maana hata mkifunga ndoa mtacheat tu kutafuta kuridhisha roho zenu.