Wamerusha mawe lini? Au wamempiga shetani lini?
Kama jana basi leo sikukuu
Bora unyamaze maana kutatunza heshima yako.Wamerusha mawe lini? Au wamempiga shetani lini?
Kama jana basi leo sikukuu
Nadhani hii "thread" inafaa sana kule kwenye mambo ya kidini. Hapa tunaogopa kusingiziwa kukashifu mtu.
Wamerusha mawe lini? Au wamempiga shetani lini?
Kama jana basi leo sikukuu
Bora unyamaze maana kutatunza heshima yako.
Kwani kakosea nini kuliza swali? Kwani ni siri kwamba mawe hurushwa ili kumponda shetani kila waendapo kuhiji?
Huyu Sheitwani anaekaa kule kwenye jiwe jeusi inakuaje hafi licha ya kupondwa mawe kila mwaka?