Nishapigwa nini mkuu,maana nia yangu kukinunua hasa ilikuwa ni ili niwe naangalia movie HD ambazo zipo kwenge USB.maana hapa movie naziona ila kuplay ndo hazitakiHakuna kisimbuzi au kin'gamuzi hovyo na feki duniani kama cha azamu
Mchina hana jema baba...kwan tv yako haina sehem ya flash?Movie ni HD mkuu na chenyewe kimejinasibu kwamba kinaziweza.hapa juu kimeandikwa USB-HD labda kama urembo?
Hapo tatizo itakuwa ni format ya video zako. Format ambayo haisumbui kuplay katika king'amuzi cha azam ni mp4 tu.Kifurushi changu kimeisha sasa nataka nitumie flash kwenye king'amuzi but movie hazichezi.sasa nataka kujua hadi niwe na kifurushi ndo niweze pia kutumia USB kwenye hiki king'amuzi au kuna sehem nakosea?maana files naziona mtihani kuzi-play.msaada wakuu
mkuu unaongelea packages au materialHakuna kisimbuzi au kin'gamuzi hovyo na feki duniani kama cha azamu
Pot ya flash kwenye Tv imekufa mkuu,dogo aling'ang'ana kutoa flash akavunja akatoa pamoja na kile kishikizo chake sasa uvivu kubebana na tv kupelekea mafundi.ila hapa itabidi niipeleke tuMchina hana jema baba...kwan tv yako haina sehem ya flash?
Bora urekebishe tu mkuuPot ya flash kwenye Tv imekufa mkuu,dogo aling'ang'ana kutoa flash akavunja akatoa pamoja na kile kishikizo chake sasa uvivu kubebana na tv kupelekea mafundi.ila hapa itabidi niipeleke tu
Movie zinaweza kuwa HD lakini zikawa kwenye format mbalimbali kama vile Mp4 na kadhalika!....Kuna format nyingi haziplay kwenye ving'amuzi!....Chunguza ving'amuzi vinacheza format gani za video then ubadilishe hizo video kwenda kwenye format husika!Movie ni HD mkuu na chenyewe kimejinasibu kwamba kinaziweza.hapa juu kimeandikwa USB-HD labda kama urembo?
Kivipi?Hakuna kisimbuzi au kin'gamuzi hovyo na feki duniani kama cha azamu
Hili ndio jibu sahihiMovie zinaweza kuwa HD lakini zikawa kwenye format mbalimbali kama vile Mp4 na kadhalika!....Kuna format nyingi haziplay kwenye ving'amuzi!....Chunguza ving'amuzi vinacheza format gani za video then ubadilishe hizo video kwenda kwenye format husika!
majunguHakuna kisimbuzi au kin'gamuzi hovyo na feki duniani kama cha azamu