papag Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,375 Reaction score 2,080 Aug 15, 2026 #1 Au bhasiii! Attachments FB_IMG_1786789831149.jpg 66.4 KB · Views: 20
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 56,143 Reaction score 105,931 Aug 16, 2026 #2 Wakizitaka waje na uthibitisho kwamba wamefikisha umri wa miaka 90/tisaini.
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 47,186 Reaction score 58,947 Aug 16, 2026 #3 Itakuwa nssf hao.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,001 Reaction score 197,548 Aug 18, 2026 #4 Hatari sana... Cc: Mahondaw
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,690 Reaction score 138,945 Aug 20, 2026 #5 .......Wakizitaka tutawawekea figisu za kutosha! Tutaondoa fao la kujitoa, tutatengeneza sheria ya kuwapatia 33% pekee ya mafao yao watakapostaafu, na pia tutawazungusha hata mwaka mzima ndipo watapewa hayo mafao yao kiduchu.
.......Wakizitaka tutawawekea figisu za kutosha! Tutaondoa fao la kujitoa, tutatengeneza sheria ya kuwapatia 33% pekee ya mafao yao watakapostaafu, na pia tutawazungusha hata mwaka mzima ndipo watapewa hayo mafao yao kiduchu.