WomanOfSubstance
Platinum Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 977
It interesting to note that any situation analysis of Tanzania starts with the sentence " Tanzania is the poorest country South of Sahara....Tanzania remains one of the poorest countries in the world, with many of its people living below the World Bank poverty line....,
THIS IS NOT A VERY PLEASING STATE OF THINGS.
Mama, hizi ni drama tu, za cut and paste!! Hakuna hata mtu mmoja katika nchi hii na hata hao waliondaa hizo documents anayejua utakelezaji wake utafanyikaje. Ila ni kasuku wazuri tu wa kunukuu vipengee vya hayo machapisho ya kisanii. Ningefurahi sana kama tungekuwa na mpango kama ile ya kijeshi. Hapo ingekuwa poa sana kwani ni lazima kwenda mbele au kuondoa majeshi na kumkimbia adui. Ila hii ya sasa inatia kichefu chefu. Mbele hatuendi wala nyuma haturudi, tunabaki tunacheka cheka na kutokwa mate kama mataahira!!Our country has since independence adopted policies geared towards poverty reduction and eradication. Tanzania has been thinking globally also in the quest for solutions to end poverty and misery to its people. Tanzania attended the Millennium Summit - the largest gathering of world leaders in history, which was held in September 2000.In this meeting the UN Millennium Declaration, (famously known as MDGs) were adopted, committing countries to a new global partnership to reduce extreme poverty and setting out a series of time-bound targets, with a deadline of 2015.At the local level, Tanzania adopted MKUKUTA - the National Strategy on growth and Eradication of poverty– as a national modality for operationalising the MDGs, encompassing the MDG targets in three clusters– growth, social well-being and governance . Even before that Tanzania had in place Vision 2025, which sets very interesting targets – halving poverty by come 2015, which is just around the corner and total eradication of poverty come 2025. MDG:1 which is on Eradicating Extreme Hunger and Poverty. Target is halving, between 1990 and 2015, the proportion of people whose income is less than $1 a day.
Kama ilani ya chama tawala haitekelezeki unategemea nini? Mimi naona tumejikalia tu, tunagojea kusukumwa kama gari lililokwama kwenye matope. Tuombe Mungu tupate mtu wa kutusukuma!!The issue is how serious are we in achieving the set targets as per Vision 2025 and the MDG based MKUKUTA?
Considering the current financial crisis and the economic down turn, pathetic state of governance where billions are being lost through graft, can we say that we are on track? 2015 is only 5 years away. Assuming that all was ok, ( financial crisis is a recent development)would we have still achieved the MKUKUTA/MDGs targets come 2015?
Kwa maoni yangu mambo yanaenda vizuri tu! Mamilionia feki wanaongezeka kwa michezo ya kuigiza na ufisadi (EPA, Radar, ndege ya rais, minara pacha n.k) na pato la wastani la Watanzania litakuwa limeongezeka tu! JK lazima amalizie kazi yake nzuri aliyoaipokea toka kwa Ben. Wewe unaonaje?
Haswa WoS, hapo ndo kwenyewe. Kuna mtu aliwahi kusema kwamba jamani msitokomeze Malaria kwa sababu nitosa kazi. Kwamba taasisi yao huko Ujerumani imeajiri karibia watu 1000, wote wanashughulika na malaria. Malaria ikiisha, taasisi itafungwa na watu hao wote watajikuta mtaani hawana kibarua.
Lakini jamani tuache utani. Semina zinalipa saaaaana! Per diem kwa boss ni 85,000 kwa siku. Akipata semina hata kwa siku 20 tu kwa mwezi, hiyo ni 1.7m. Mshahara utagusa wa nini? Na wakati mwingine zinapandana 2 au tatu na mshiko unakombwa tu! Jamani kama kuna mtu anataka kutangaza kazi kwa ajili watu wanaopenda kuhudhuria semina naomba mnistue. Ni dili la kufa mtu!
Kaa mkao wa kula mtu wangu maana mialiko iko kedekede!
On a serious note, poverty is a huge opportunity for the rich.It is an industry by itself.If we unpack the MDG and MKUKUTA, we will be opening a pandoras box maana humo ndani kuna mambo ya Malaria, HIV Aids, gender, environment, governance and democracy etc etc etc......kila eneo hapo lina mizengwe yake...
WoS, This is an interesting topic. I have always thought about it..ila nakosa jibu..perhaps tujadili what we think..
.....Hakuna kiongozi tena anayefanya kazi kwa common good. Its everybody for himself and God for us all. Na sisi wananchi kwa sababu ya njaa, umasikini na ujinga..tumeamua kwamba umasikini ni kazi ya Mungu! Mungu akipenda tutafanikiwa!
Kitu kingine, sisi waafrika wa kujilaumu ni sisi wenyewe, we have willingly become compradors of the rich at the expense of our people. ..................
..... Kifupi leo hata ungesema uweke stimulus package ya Obama ya 100 Billions in Africa, I can bet myself. Haitasaidia lolote katika mustakabali wetu. kWA SABABU HATUJUI VIPAUMBELE VYETU!
Swala la MDG I always say it is a minimalist approach ya western countries
............LAKINI KWA SABABU HAIKUWA IDEAS ZA WAZUNGU NA MASHIRIKA YAO..NDO WAKATUNYIMA PESA. NA SIJUI ITATUCHUKUA NINI MPAKA KUFIKIA LITERACY LEVEL YA KIPINDI CHA MWALIMU! TALK OF MDGs!
Kifupi we have willingly and collectively become stupid as a continent.
To me, way forward ni kuwa na mawazo yetu wenyewe tukajua priorities zetu. This nonsense of MDGs ni ujinga ambao we are just wasting our time!
Afrika needs to think outside the box. Hizi longo longo za Mkukuta, sijui nini..tutazidi kupiga marktime kwenye umasikini tuu..kwa sababu wanaoleta hii miradi na ideas..hawajui matatizo yetu na kibaya sisi tunaoyajua..tunaogopa kuwa wawazi..maana na sisi tunafaidika na hizo warsha..kama mkubwa mmoja alivyosema hapo juu..Its just pathetic and sad when I think of my continent.
UN ni shirika zuri..lakini haliwezi kutuletea ideas za maana..tuwaache wasaidie wakimbizi wetu makambini. Maendeleo ni jukumu letu. Harafu Mkapa anaenda kumleta mtaalamu De Soto kutoka Peru...aje kutufundisha namna ya kuondokana na umasikini? Hivi waafrika tulirogwa na nani? Duh!
Mtu wa kuondoa umasikini Tanzania ni Maskini Mwenyewe. Period.
Hebu kwanza tujadili bayana hii ishu kwa mapana yake ndipo tuwe na bilateral discussion thru PM.Mhhh, naona mambo yanakwenda yakiongezeka. Hebu ni-PM tuongee zaidi. Hapa tunaweza kuonekana tunazama kwenye ufisadi hivi. Ila ukweli ni kuwa umasikini wetu ni dili i.e kufa kufaana. It's very sad but that is the truth!
WoS, This is an interesting topic. I have always thought about it..ila nakosa jibu..perhaps tujadili what we think..
Viongozi wetu hawana uwezo wa kufikiri tena! we have outsourced everything including our ability to think to western countries (and now China!). Hakuna kiongozi tena anayefanya kazi kwa common good. Its everybody for himself and God for us all. Na sisi wananchi kwa sababu ya njaa, umasikini na ujinga..tumeamua kwamba umasikini ni kazi ya Mungu! Mungu akipenda tutafanikiwa!
Kama umewahi kwenda wa Sangoma basi unaweza kujua yaliyotukuta. Sangoma akishakwambia kuwa mchawi wako ni mama yako mzazi wakati unajua si kweli na ukaamini unategemea nini? Kesho anakwambia kamchinje mwanao upate utajiri unakimbilia kunoa kisu! Ukishakabidhi kichwa chako kwa mtu ujue yamekukuta. Sina hakina tunatokaje hapo lakini tumezama kwenye maji ya kina kirefu.Kitu kingine, sisi waafrika wa kujilaumu ni sisi wenyewe, we have willingly become compradors of the rich at the expense of our people. Wazungu wameshatujua namna ya kula na sisi. Ndo maana katika dunia nzima
Kifupi we have willingly and collectively become stupid as a continent. Tumeshindwa kujua kwamba kamwe hatuwezi kuendelea kama taifa au bara bila kushughulisha bongo zetu. Haiwezekani mtu wa New York au PARIS ajue matatizo yako kuliko wewe unayeyaishi Kibondo au Bwasi.... NEVER! Unafikiria kwa nini miradi ya kuondoa umasikini haifanikiwi katika Africa? Ni Kwa sababu haiwahusishi wadau wa kubwa wa hii sector ambao NDO MASIKINI wenyewe!!
Mimi nadhani kufikiri hatuwezi kukutegemea kama njia ya kubadilisha mawazo na mwelekeo wetu kwa sasa, ikizingatiwa tuliowategemea na sisi wenyewe tumefikia ukomo wa kufikiri. Tunahitaji kichaa mmoja aje na operation ya kusafisha kizazi hiki cha nyoka. Yaani kwanza atuchape hata viboko ili tufanye kazi kwa bidii kwa lengo la kujenga nchi yetu. Pili awatokomeze mafisadi hata ikibidi kutumia njia za kijeshi. Na mwisho atutie adabu (discipline) ya kuheshimu mali ya umma na kutafuta utukufu wa kutumikia umma badala ya matumbo yetu. Bila hivyo tutaendelea kucheka cheka tu!To me, way forward ni kuwa na mawazo yetu wenyewe tukajua priorities zetu. This nonsense of MDGs ni ujinga ambao we are just wasting our time! Jiulize leo ukienda vijijini hata Kasulu utakuta matank ya maji ya miaka ya 70! Ambayo leo hayana maji...huoni kwamba Nyerere alijua umuhimu wa maji safi na yanayopatikana kwa urahisi kwa wananchi? leo ndo tunapigia MDGs kelele kwa sababu wametoa ideas wengine.
Afrika needs to think outside the box. Hizi longo longo za Mkukuta, sijui nini..tutazidi kupiga marktime kwenye umasikini tuu..kwa sababu wanaoleta hii miradi na ideas..hawajui matatizo yetu na kibaya sisi tunaoyajua..tunaogopa kuwa wawazi..maana na sisi tunafaidika na hizo warsha..kama mkubwa mmoja alivyosema hapo juu..Its just pathetic and sad when I think of my continent.
Mtu wa kuondoa umasikini Tanzania ni Maskini Mwenyewe. Period.
Nchi ni yetu wote lakini inakuwa kama kuna wenye nchi na wapangaji!Mkuu, huwezi kufikiri kama hujui tatizo ni nini, na chanzo chake ni nini. Sasa kama Mkuu wa kaya hajui chanzo cha matatizo ya kaya yake na hasa umasikini unategemea nini? Mbaya zaidi mambo hayo yanatokea kwenye kaya ambayo kila kitu kinamtegemea mkuu huyo. Ukijaribu kuleta kilimi limi unaishia pabaya. We are doomed!
Kama umewahi kwenda wa Sangoma basi unaweza kujua yaliyotukuta. Sangoma akishakwambia kuwa mchawi wako ni mama yako mzazi wakati unajua si kweli na ukaamini unategemea nini? Kesho anakwambia kamchinje mwanao upate utajiri unakimbilia kunoa kisu! Ukishakabidhi kichwa chako kwa mtu ujue yamekukuta. Sina hakina tunatokaje hapo lakini tumezama kwenye maji ya kina kirefu.
Mimi nadhani kufikiri hatuwezi kukutegemea kama njia ya kubadilisha mawazo na mwelekeo wetu kwa sasa, ikizingatiwa tuliowategemea na sisi wenyewe tumefikia ukomo wa kufikiri. Tunahitaji kichaa mmoja aje na operation ya kusafisha kizazi hiki cha nyoka. Yaani kwanza atuchape hata viboko ili tufanye kazi kwa bidii kwa lengo la kujenga nchi yetu. Pili awatokomeze mafisadi hata ikibidi kutumia njia za kijeshi. Na mwisho atutie adabu (discipline) ya kuheshimu mali ya umma na kutafuta utukufu wa kutumikia umma badala ya matumbo yetu. Bila hivyo tutaendelea kucheka cheka tu!
Katika hayo yote uliyosema hapo juu, wananchi waliteseka sana na pia wakajua wanateseka. Inawezekana sisi bado hatujateseka kiasi cha kutosha!Nimekumbuka kidogo historia ya Ufaransa na mapinduzi yake, Mfalme Louis wa 16 na mkewe Marie Antoinette walivyokuwa wamejisahau katika kula maraha wakati wananchi wanateseka hawa hata mkate ( basic food) na ni hasira hiyo iliyowafanya wananchi wainuke na kupambana na hawa mafisadi.Nakumbuka pia Urusi na akina Czar Nicolas wa 2 na mapinduzi ya 1917yaliyopelekea mabadiliko makubwa; nakumbuka pia Ceaucescu wa Rumania na mkewe Ellena na walivyofikishwa tamati ya maisha yao mwaka 1989 baada ya kuwatesa wananchi na kuwafanya waishi katika umaskini ilhali wao wakiishi kifahari.
.Lakini ninapokumbuka zama hizo, simaanishi kuwa tunahitaji kuondoa waliopo kwa njia za mapinduzi maana hii si njia muafaka sana.Siku hizi kuna democrasia ( both liberal and illiberal) yenye kuwaachia wananchi waamue wanamtaka nani through the ballot box.Sasa ballot box hiyo ambayo tunaitumia siku zote, ni kwa vipi itatuletea viongozi bora watakaoweza kutufikisha panapostahili kwa maana ya maendelea kwa wananchi wote na si kufaidika kwa wachache tu
Siwezi kuchangaa kitu. Ukienda kwenye sherehe ya kunguru basi na wewe ni kunguru! Kama ni hivyo basi hakuna lolote la kutegemea zaidi ya kunguru kumaliza mbegu zetu kabla hata hazijaota!!Fikiria huu mjadala wa Dr Slaa aliouanzisha kuhusu mishahara na maslahi ya wabunge.Hivi kweli kama wawakilishi wa wananchi wao hawana njaa , watawakumbuka wale wenye njaa waliowachagua? Tutaona jinsi kutakavyokuwa na kupigana vikumbo uchaguzi ujao na jinsi rushwa itakavyotumika ilimradi tu mtu aningie bungeni akajinafasi.Lakini mwisho wa siku tutabakia kama kawaida kulalama tu na life will go on kwa wale waliobahatika tena kuingia madarakani.I see no hope for change in the near future labda miaka 1000 ijayo!
Tutesekeje tena? kama sasa kuna watu baadhi ya mikoa wana njaa.Kuna watu wanaishi chini ya dola 1 kwa siku.Kuna watu wanakufa kila siku kwa kukosa shilingi elfu 2, 3 , 4 za kumwona daktari watibiwe.Kuna akina mama wajawazito wanakufa kila siku kwa kuishiwa damu.Wengine wanakufa kwakukosa huduma ya kuzalishwa na mkunga.Kuna watoto wanakufa wakiwa hawajafikisha miaka 5 na hii si haki.Kuna mamilioni ya watoto hawaendi shule kwa sababu mbalimbali.Kuna mamilioni hawana maji safi na salama.Hii ni kwa uchache - extremes.Bado kuna ishu kama mishahara midogo isiyotosheleza, kutokulipwa mishahara kwa wakati, Mgao wa umeme kufuatia mipango mibovu n.k.Katika hayo yote uliyosema hapo juu, wananchi waliteseka sana na pia wakajua wanateseka. Inawezekana sisi bado hatujateseka kiasi cha kutosha!
Kama sanduku la kura litabaki kuwa mazingaombwe tufanye nini? Kwani Madagascar wanaishi sayari nyingine? Lazima kuna njia ya kuachana na mazoea na mateso. Labda hatujampata Musa wetu.
Siwezi kuchangaa kitu. Ukienda kwenye sherehe ya kunguru basi na wewe ni kunguru! Kama ni hivyo basi hakuna lolote la kutegemea zaidi ya kunguru kumaliza mbegu zetu kabla hata hazijaota!!
Dark City na WoS,
WoS na Dark City Iam sure nyinyi mmekaa au mmetembelea nje, hivi niambieni..mbona waafrika wakifika huko wanakuwa na adabu? jiulize..ukinywa bia hata moja US au Europe unaogopa kuendesha gari by all means! Huyo huyo mtu akija Dar..atakaa Rose Garden anywe bia hata kumi...na aendeshe gari! Why? wenzetu ukivunja sheria kuna consequences, kwetu ukivunja sheria-it depends on whom you know! Mifano ni mingi.
Kabla ya kulilia maendeleo tunahitaji kuaddress vitu basic sana wala siyo vikubwa. Mfano rushwa ni tatizo kubwa ulimwenguni..lakini tofauti ni kwamba Maddof yuko jela na Lowassa au Rostam anapeta ingawa wote wameiba kwa Ponzi scheme albeit differently!
Narudia kusema: Jukumu la kuondoa umasikini ni la masikini wenyewe in this case waafrika.
Africa siyo tuu kubadili mawazo..bali pia Tunahitaji kujua wajibu wetu wa kiraia. Sasa kama tunasubiri "tupewe" elimu ya uraia. Mpaka tunapewa tutakuwa tumeshateketea kwa njaa, magonjwa na umasikini.