baada ya kusikia kuhusu jamii forums, nimeamua kujiunga maana nasikia kuna vitu vingi ikiwemo ushauri mbalimbali.
Basi leo naombeni mniksribishe kwa kunipa ushauri kuhusu hili maana linanisumbua na sijui la kufanya. Kuwa ni udanganyifu, kawaida au upendo kwisha.
Mimi ni mwanaume niliyeoa na tuna mtoto mmoja wa mwaka 1 na nusu.
Mke wangu ana umri wa miaka 26 nami 32.
Huwa mara nyingi nahitaji sana kuwajibika kindoa, at least mara moja kwa hata siku mbili.
Lakini mwenzangu hiyo mara moja tu kwa usiku anakuwa anasema amechoka tusiendelee,
kutokana na hilo najicondition ili nisihitaji sana. Lakini inapokuja yeye siku hiyo kapenda nitafanya kila niwezalo adi yeye aridhike.
Baada ya hapo kupata habari hiyo tabu.
Labda baada ya wiki au 2. Kitu ambacho kinanifanya kila siku nihitaji tu kama almasi.
Sasa sielewi huwa hafurahii, au anadanganya au hanipendi, au ninini, nisaidieni wakubwa
wenye uzoefu.
why all married people wana complain sana.????????
why all married people wana complain sana.????????
why all married people wana complain sana.????????
ilo ni bonge la tatizo fikiria mtu dudu limesimama mkewe yuko naked kalala jamaa anamtamani lakini unyumba hapewi nakwambia unaweza kurukwa na akili na hiyo inatokea daily mpk upewe wiki 2 zimepita unadhani huyo mtu ataweza kuconcentrate kazini kweli?Tena wanacomplain kwenye hilo suala la "faragha". Yatukatisha tamaa wengine humu.
Pole kaka kwa matatizo which in actual sense sidhani kama ni tatizo kihivyo. ongea naye ujue tatizo liko wapi
ilo ni bonge la tatizo fikiria mtu dudu limesimama mkewe yuko naked kalala jamaa anamtamani lakini unyumba hapewi nakwambia unaweza kurukwa na akili na hiyo inatokea daily mpk upewe wiki 2 zimepita unadhani huyo mtu ataweza kuconcentrate kazini kweli?
utakuta mtu anaamua kwenda kulewa tu akirudi analala kumbe kisa kanyimwa mbunyeLakini kweli aisee ni tatizo kubwa. Bora umenijuza zaidi FD