Mzee wa Gumzo
Senior Member
- Apr 21, 2008
- 197
- 6
dada, anaweza akatoka, anaweza akairuka hiyo kesi na akawa huru kabisa kama atatoa vigezo vinavyomfanya aangukie kwenye provocation. mimi na wewe hatujui mazingira yalikuwaje, tumesikia tu kwenye vyombo vya habari juu ya hili, hatujui mazingira halisi yalikuwaje na yeye atatoa ushahidi gani kujitetea. kama hana sababu,adhabu ya murder ni kifo, kwani unafikiri hakulijua hili? alilijua na asingekuwa nasababu angejiua mwenyewe palepale ili kuepuka msala,si alikuwa na bunduki...au unafikiri alirukwa na akili.
hili liwe fundisho kwa pande zote mbili.kwa wanawake kama wewe na kwa wanaume pia. unavyoongea unaonyesha na wewe u mzuri sana wa kucheat kwa mme wako,ndomaana unafeel kuwa hata wewe ungeangukia kwenye kichapo hicho kama mme wako angekukuta. ndo maana hauujui uchungu wa kuibiwa mke.inauma sana, hadi sheria inatreat as special thing kwenye mambo haya ya love. kesi zake huwazinafanywa kwa umakini wa hali ya juu kwasababu mapenzi yana wivu mkali kupindikia, mtu anawezaakawa tayari kwa lolote kama anaibiwa na sheria inataka kumlinda huyu mtu. jaji mwenyewe ni dhaifu kwa mapenzi, anaweza akafanya lolote kama ameibiwa mke. lakini huwa haiumi sanakama wote mnacheat,hkuna wa kumlaumu, kama mmoja ndo mwizi, alo lazima akufanyie.
anaweza,akatoka.mimi naweza nikamsimamia hadi akatoka. leteni hiyo kesi kwangu nile hela. kama alimimina risasi 14 zote hizo, basi hiyo hasira ilikuwa kubwa sana. kuna uwezekano mkuwa kuwa ni provocation.manake alishikilia tuu na kufyatua hadi zilipoisha. only lawyers who know about this should argue, watu ambao sio malawyer ni vigumu kuelewa. ila inawezekana. inategemeana na jinsi mtu atakavyo present defence yake.
Aidha, Kamanda Kalunguyeye amesema kuwa inasemekana kuwa katika mazungumzo yao hayo, wapendanao hao walishindwa kuelewana na ndipo askari akaamua kumtwanga risasi ya kichwa na mkononi mkewe huyo na kumuua papohapo.
Kamanda anaanza kuongelea mambo yanayosemekana? Kamanda analeta speculations? Kamanda anatakiwa aje na facts tu, kama hana facts aseme tu kwa sasa uchunguzi unaendelea.
Hajui maneno kama haya ambayo yanachapishwa na gazeti yanaweza kumkosesha mtu fair trial? Au yanaweza kumpa muuaji grounds za kuanza kulalamika na hivyo kumuonyesha kama kaonewa?
Katika kitabu cha Sidney Sheldon "Rage of Angels" Michael Moretti a Mafia Don, anashinda kesi ambayo clearly alikuwa guilty kwa msaada wa Jennifer Parker, kwa sababu ya technicality ya kupigwa picha na magazeti na kuandikwa vibaya.
I bet kamanda hajasoma "Rage of Angels" or anything remotely similar.
Bongo safari ndefu.
Kamanda kachemsha big time.
Ila na wewe unapoanza kuleta mifano ya kwenye novel za ki-mafia za Kimarekani pia una haribu. Tupe mifano hai. Na kama inawezekana, mifano inayotoka kwenye jamii ya Kitanzania. Umewahi kusoma kitabu chochote cha Kitanzania au wewe ni vile vya wa kina John Adams, Thomas Payne, Mark Twain na Barack Obama tu? Teach us a little bit of Tanzanian society if you don't mind!
Tanzania has no "society" to speak of, at least not in literate matters, where am I to draw examples from? Where is our Magna Carta or Bill of Rights?The country is largely illiterate, people do not read, people do not write. Our constitution itself is based on western ideals, so how can you tell me not to borrow and quote from western literature?
The chief justices are prone to gaffes left right and centre, the Police Commissioners talk like sungusungu, the little Shaaban Robert and Agoro Anduru cannot stretch that far, that is why we must look outside.
I am not too proud to admit that.Nationalistic pride will blind austere minds.
.....sounds like a concurrence of Ndivyo Tulivyo.....Lol
Pundit anachekesha, analeta mambo ya novel kwenye issue zinazohitaji sheria...hahaha, hapa rafiki ni sheria inayochukua mkondo wake. na ujue huyo jamaa bado hajahukumiwa bado, sheria yaweza kuamua kama hajaua kwa makusudi vilevile. usilete novel, ndo maana zinaitwa novels..hahaha.
Pundit anachekesha, analeta mambo ya novel kwenye issue zinazohitaji sheria...hahaha, hapa rafiki ni sheria inayochukua mkondo wake. na ujue huyo jamaa bado hajahukumiwa bado, sheria yaweza kuamua kama hajaua kwa makusudi vilevile. usilete novel, ndo maana zinaitwa novels..hahaha.
Not exactly, Ndivyo Tulivyo ina imply kwamba this is an inherent characteristic, kama genetic fulani hivi na hatuwezi kubadilika.
Mimi najua tunaweza kubadilika, ila kwa sasa tuko nyuma sana.
...Ndivyo Tulivyo ina imply kwamba this is an inherent characteristic, kama genetic fulani hivi na hatuwezi kubadilika.
I wish jamaa angekuelewa ulichokisema hapo. Sio kukukubalia, ila kukuelewa tu.
Sidhani kama Nyani Ngabu anaelewa maana ya "ndivyo tulivyo." I really don't think he understands it.