RIP.. this is very sad indeed... nakumbuka "Siku ikifika, nitakula wali ee wali na Sombe!"! "kalo chumvi mwa, kalo pili pili mwa, inakolea kusingo!":
Sir,
That was Abeti Masikini from Congo.
May all beings attain enlightenment.
..RIP Mama Miriam Makeba.
..kuwakumbusha tu, wakati wa kilele cha siasa za ubaguzi SA, Mama Miriam Makeba alilazimika kusafiri kwa kutumia passport ya Tanzania.
..pasi yake ya kwanza ya Tanzania ilitolewa kwa niaba ya serikali na ofisa wa ubalozi wa Tanzania UN, Chedieli Yohane Mgonja, mwanzoni mwa miaka ya 60.
..baadaye tena sherehe za harusi ya Miriam Makeba na Stokeley Carmichael[kwame toure] zilifanyika nyumbani kwa balozi Akili Danieli[r.i.p], aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania UN.
Balozi Daniel ni marehemu sasa...Kifo hiki ni habari za kusikitisha. P.K.A
JokaKuu, ahsante kwa hicho kipande cha historia. Sasa Serikali hapo ili justify vipi kumpa passport asiye raia ? Maana kuna sheria za Uhamiaji. Unless kulikuwa na fast track process of naturalization kwa wakimbizi. Vinginevyo inaweza kuonekana kwamba huu mchezo wa kufyatua mi passport kanjanja ulianzishwa zamana na Serikali yenyewe. Kama una access na balozi Daniel hebu muulize mpangilio ulikuweje tafadhali, tupate historia.
Kifo hiki ni habari za kusikitisha. P.K.A
JokaKuu, ahsante kwa hicho kipande cha historia. Sasa Serikali hapo ili justify vipi kumpa passport asiye raia ? Maana kuna sheria za Uhamiaji. Unless kulikuwa na fast track process of naturalization kwa wakimbizi. Vinginevyo inaweza kuonekana kwamba huu mchezo wa kufyatua mi passport kanjanja ulianzishwa zamana na Serikali yenyewe. Kama una access na balozi Daniel hebu muulize mpangilio ulikuweje tafadhali, tupate historia. Maana hatuna wana historia wa kuchunguza hivyo vitu, na Wazee wanaojua hizi ishu wamekaa kimya tu. I mean, watu mpaka wanatafuta hati ya Muungano iliyopotea wakina Mzee Kawawa wako kimya tu, hawaandi memoirs, hawatoi interview, au hawaulizwi, manake hatuna press. You know it.
Kuhani said:JokaKuu, ahsante kwa hicho kipande cha historia. Sasa Serikali hapo ili justify vipi kumpa passport asiye raia ? Maana kuna sheria za Uhamiaji. Unless kulikuwa na fast track process of naturalization kwa wakimbizi. Vinginevyo inaweza kuonekana kwamba huu mchezo wa kufyatua mi passport kanjanja ulianzishwa zamana na Serikali yenyewe. Kama una access na balozi Daniel hebu muulize mpangilio ulikuweje tafadhali, tupate historia. Maana hatuna wana historia wa kuchunguza hivyo vitu, na Wazee wanaojua hizi ishu wamekaa kimya tu. I mean, watu mpaka wanatafuta hati ya Muungano iliyopotea wakina Mzee Kawawa wako kimya tu, hawaandi memoirs, hawatoi interview, au hawaulizwi, manake hatuna press. You know it.