Joyum Senior Member Joined Oct 30, 2007 Posts 153 Reaction score 11 Dec 16, 2010 #21 Rais asiyejua matatizo ya umasikin nchini anapoongoza yanasababishwa na nini lakini bado anajisifia kuwa rais!! Kama baba wa familia hujui nini kiini cha matatizo ya familia yako hufai kuitwa baba mana familia itateketea we unakula shavu somewhere!
Rais asiyejua matatizo ya umasikin nchini anapoongoza yanasababishwa na nini lakini bado anajisifia kuwa rais!! Kama baba wa familia hujui nini kiini cha matatizo ya familia yako hufai kuitwa baba mana familia itateketea we unakula shavu somewhere!