- Rais Muungwana na mpenda watu wake
- Rais mwenye uchungu na rasilimali za nchi
- Rais aliyekuza uhuru wa vyombo vya habari
- Rais aliyerhusu mijadala ya ufisadi iwe wazi wazi
- Rais aliyeweka historia ya kuwa na bunge lililo huru
- Rais aliyeendesha uchaguzi huru na wa haki
- Rais aliye pandicha elimu ya tanzania, mf. UDOM
- Rais aliyekusanya vizuri kodi za serikali
- Rais aliye na maadili sio kuiba wake za watu km Slaa
- MWISHO : Mkitaka sifa nzuri za JK mumkumbuke tunaweza kesha hapa JK
Hizi ni sifa anazopewa marehemu yeyote yule hata kama alikuwa jambazi. Ungesubiri akifa uombe kwenda kusoma wasifu wa marehemu kwa sababu sifa za marehemu huwa haujadiliwi. Lakini kama unamjadili JK kama raisi huna sifa objective.
Katika mdahalo wa wagombea urais 2010 mmoja mmoja, JK alisema anataka watanzania wamkumbuke. Mwandishi alimuuliza wakukumbuke kwa lipi? hakuwa na jibu. Mimi nina cha kumkumbuka
1. Rais mtalii kuliko wote duniani
2. Rais aliyewahi kudanganywa zaidi(sijui kama ni duniani)
3. Rais aliyewahi kuwatetea wafungwa wake aliowashataki mwenyewe (NAMAANISHA MAHABUSU MRAMBA)
4. Raisi mwenye kinyongo na visasi
5. Rais aliyeuza nchi yetu kwa wahindi (Rostam, Jitu patel, manji na wengineo)
6. Rais aliyehamishia ikulu kwa familia yake (BMW)
7. Rais wa kujaza matuta barabarani badala ya kujenga barabara
Je wewe?
8. Mimi ninamshukuru Mungu sikuwahi kumpigia kura.
Sema hukupiga kura ulikuwa kwenye ulevi.Na nyie ndio mliopunguza kura za Padri wetu