Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 4,060 Reaction score 6,893 Nov 5, 2026 #1 Siyo kwamba sitaki aachiwe huru. Isipokuwa tu nadhani Magereza aijakata kiu yake ya kumtesa Lissu.
The Family Wallet JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 6,077 Reaction score 10,223 Nov 5, 2026 #2 Lissu hana cha kupoteza
K Kiboko ya Mazwazwa JF-Expert Member Joined Feb 22, 2026 Posts 2,054 Reaction score 3,642 Nov 5, 2026 #3 Poppy Hatonn said: Siyo kwamba sitaki aachiwe huru. Isipokuwa tu nadhani Magereza aijakata kiu yake ya kumtesa Lissu. Click to expand... hukumu za kuandaliwa lushoto kwa usimamizi wa magenge ya wahalifu nani anataka kuisikia, wala haishtui.
Poppy Hatonn said: Siyo kwamba sitaki aachiwe huru. Isipokuwa tu nadhani Magereza aijakata kiu yake ya kumtesa Lissu. Click to expand... hukumu za kuandaliwa lushoto kwa usimamizi wa magenge ya wahalifu nani anataka kuisikia, wala haishtui.