Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,827
- 1,314
Umesahau kitu kimoja: kuelekeza lokesheni ya nyumbani kwako ili tuweze ku'navigate huko na kuleta mazawadi!
hongera sana HOMMIE!
I WISH......
kimekumbusha nini mkuu?haaa kuna kipande hapo kimenigusa, ubarikiwe sana na nakutakia kila la kheri, kuna kipande kimenikumbusha mbali sana.
haaa kuna kipande hapo kimenigusa, ubarikiwe sana na nakutakia kila la kheri, kuna kipande kimenikumbusha mbali sana.
Hongera sana kaka.
Mungu akupe nguvu zaidi na ndoa yenu idumu.Miaka 5 si mchezo,hapo mimi nilikua namaliza form six.
You have my prayers bro,mtuombee na sisi pia tupate wachumba wazuri
Mbarikiwe sana ndugu
mimi nina siku hamsini hivi kwenye ndoa......!
dah!
fact!Usijali wako ambao wanatarajia; ww hata ukinyakuliwa leo obituary itasomeka "Ameacha mke!"π
Hawatasoma kuwa ulika 50 dayz!
Stop worrying you in already Hommie!
fact!
mtu kama georgie-porgie akifa leo watasema MAREHEMU ALIKUWA TOWASHIπππ
Tuko pamoja;Hongera sana, mi nina mnne sasa!
mtu kama fidel akidondoka leo watasema MAREHEMU ALIKUWA MSEJAππHommie usinialike kwenye ugomvi na Georgie Porgie! Ngumi niliacha kupigana tangu primary na siku hizi mahanjumati ya shemejio yamefanikiwa kunifanya niwe mchache wa mbio ndefu!ππ