Nilikua naangalia taarifa ya habari ya ITV nikajikuta nimepatwa na hasira sana. siku zote najua jk brain yake haipo ok ila leo kadhibitisha asilimia mia kuwa there is a nut missing.
yaani alikuwa anaongea as if yupo kwenye mipasho ya taarabu eti ANAPONDA UZINIFU NA UVUNJIFU WA AMRI YA SITA YA Dr Slaa. nikajiuliza kichwani hivi hayo yanatuhusu nn ss raia. ss tunataka atuambie yy atatufanyia nn personal affairs za watu ss hazituhusu. kwanza yy ni mchafu kuliko hata anayemsema.
kwakweli busara zake ni 40%. housegirl wangu mwenyewe hana elimu lakini amemshangaa sana.
by the way,mi si mwanachama wa chama chochote ila kura yangu aisahauuuuuuuu.
Brandon, Unajua Elimu haiongezi busara au hekima ya mtu. Hawa mahouse geli wengine wanabusara na zinachemka kuliko vilaza wetu wengi tu, tatizo ni kuwa walinnyimwa hiyo nafasi ya kuendelea na masomo yao kwa sababu moja au nyingine, ila sababu ya msingi ni kuwa taifa (au tuseme uongozi wa taifa )ulishindwa/uliwaacha wa losti tu/taifa halikuwajali raia wake vizuri.......... housegirl wangu mwenyewe hana elimu lakini amemshangaa sana.......
Wakati wa kampeni anazungumzia habari ya "kuvunja amri ya 6" na kuwa "zinaa ni haram" - yaani anaudhi sana - watu wamejazana uwanjani halafu anakuja na issue za uzinzi - halafu still anasema eti "hospital ya mwananyamala ataifanya iwe ya rufaa" - na kila wilaya itakuwa na hospital yake - AMESAHAU KUWA HAYO NI MAMBO AMBAYO NI YA KAWAIDA SANA KUFANYWA NA SERIKALI NA SIO SERA -
Mbona haongelei - MADINI YETU YANAVYOIBIWA? MBONA HAONGELEI RICHMOND? ----------- hana JIPYA KABSAAAAAAAA - KWA KWELI APISHE WENGINE JAMANI ..............OH! ANATUAIBISHA SANA WATANZANIA
Nilikua naangalia taarifa ya habari ya ITV nikajikuta nimepatwa na hasira sana. siku zote najua jk brain yake haipo ok ila leo kadhibitisha asilimia mia kuwa there is a nut missing.
yaani alikuwa anaongea as if yupo kwenye mipasho ya taarabu eti ANAPONDA UZINIFU NA UVUNJIFU WA AMRI YA SITA YA Dr Slaa. nikajiuliza kichwani hivi hayo yanatuhusu nn ss raia. ss tunataka atuambie yy atatufanyia nn personal affairs za watu ss hazituhusu. kwanza yy ni mchafu kuliko hata anayemsema.
kwakweli busara zake ni 40%. housegirl wangu mwenyewe hana elimu lakini amemshangaa sana.
by the way,mi si mwanachama wa chama chochote ila kura yangu aisahauuuuuuuu.
NeverHas he ever talked sense??
orait, kama nimekupata sawasawa, unawaeleza waislamu wenzako?Japo huoni mantiki ya ujumbe wake lakini haijuzu kumchagua Rais mzinifu, uzinifu ni moja ya dhambi kubwa kwa dini zote na kwa waislam adhabu yake ni kifo. Uzinifu huleta ufukara wa mali, magonjwa na mabalaa. Ukimchagua kiongozi mzinifu kuna hatihati nchi kutumbukia kwenye mabalaa na ufukara wa kupindukia. Tumia akili yako vizuri rudi kwenye maadiko matakatifu then fanya maamuzi ya busara.
Japo huoni mantiki ya ujumbe wake lakini haijuzu kumchagua Rais mzinifu, uzinifu ni moja ya dhambi kubwa kwa dini zote na kwa waislam adhabu yake ni kifo. Uzinifu huleta ufukara wa mali, magonjwa na mabalaa. Ukimchagua kiongozi mzinifu kuna hatihati nchi kutumbukia kwenye mabalaa na ufukara wa kupindukia. Tumia akili yako vizuri rudi kwenye maadiko matakatifu then fanya maamuzi ya busara.