Daudi Balali Gavana wa Benki Kuu kuidhinisha malipo kwa Kampuni ambayo yeye ni Mkurugenzi.. kweli siyo hoja inayojitaji majibu?
Daudi Balali Gavana wa Benki Kuu kuidhinisha malipo kwa Kampuni ambayo yeye ni Mkurugenzi.. kweli siyo hoja inayohitaji majibu?
Kuna watu wanatakiwa wawe Keko au Maweni... ndio maana Rais anakwepa waandishi wa Bongo hapa US... wamebakia kutoa ripoti tu..tunaomba mahojiano na Rais kabla hajaondoka....
Mwanakijiji,
Unaomba wakati uko USA? Mimi nimeshuhudia Bush akiwa anapita sehemu watu wanashout hoja zao ndiyo ije kikwete a. Kuomba ni huku bongo hebu nendeni mkiwa hata wanne tu na mabango yenu mtapata coverage ya kutosha na huenda mkaokoa mamilioni ya watanzania wanaokufa huku. Mfuateni kokote kule aliko tunawaomba jamani?
Hata mimi najilaumu sana alipokuja hapa kwetu tugembebea mabango ndio angejua tuna uchungu na nchi yetu. Tena huku nje rahisi sana huyu lazima apewe joto ya jiwe, na maandishi makubwa ya Richmonduli, Buzwagi, Barrick, BOT, Balali etc mnaingia nayo kwenye ukumbi wa mkutano.
Yaani nimecheka mpaka basi!
Jamani mtamuua muungwana bure na pressue ugenini? Yaani atasema jamani mabango yamenifata hadi huku?
But well it is a very good idea I think! na huko hamna cha polisi kuwaweka ndani!
mzee hapa naona unaanza kuunganisha dots ambazo hazijaunganishwa bado na hivyo tunazidi kupata picha ya jinsi dili nzima ilivyokwenda. Hivi inawezekana kuwa CCM waliamua kusema Meremeta (Glittering) ni mali ya Jeshi ili kunyamazisha watu? Hivi mpango wa JWTZ kujihusisha na Madini ulitangazwa kwenye kikao gani cha Bunge au nalo ni la usalama wa taifa? Halafu kama Meremeta ni ya jeshi, na Jeshi hilo ni la Watanzania, mbona kampuni isajiliwe Uingereza? HIvi hiyo meremeta ilifilisika vipi?In search of TanGold related news and business.....