Asante sana Mkuu Shalom,911,
Thanks kwa kumweleza ukweli gembe anaye someshwa na fisadi(bado hajakana) ngoja niweke hapa nini alisema katika hizo link ulizo weka hapo juu ili iwe rahisi kwa watu kuunganisha chuki yake kuprove kuwa ukifadhiliwa na fisadi kweli lazima tu umchukie mengi.
Mengi anachukia mafisadi
Mafisadi wanamsomesha gembe
Gembe atamchukia mengi ( hii itatokea automatic kama ulivyokili)
Sasa soma maneno ya gembe hapo chini kutoka kwenye kinywa chake
"Ndiyo mana huwa simpendi Mengi na nitasimamia hapo hapo...Mzee huyu anajidai ni msaada kwa watanzania ila hana chochote" na hiyo nyingine unasema "Inaezekana Mengi akawa hana kosa ila Mie Personally simpendi Mengi.Hivyo ndivyo nilivyo"
Gembe ushindwe na ulegee tuachie Mengi wetu bwana
Mkuu Mwanakijiji,
Wee Umeamua kugeuza tu kwa manufaa yako binafsi na mapenzi yako binafsi kwa Mengi au?
We are talking about reality and this is exactly truth that people need to know.Inawezekana vipi mtu mmoja awe na ugomvi na watu zaidi ya kumi na kila mtu atatumia Meadia yake kupambana nao.
kwa ulivyogeuza inaonesha kuwa tayara yeye ni threat kwa kila mtu na siku zote inakuwa ni kwenye maslahi.
anyways for thos who have said nasomeshwa na FISADI,kusomeshwa na fisadi or what haikusaidia wewe binafsi na inanisaidia mimi ,so keep queit!
wewe uliyefika hapo unajuaje hata hiyo pesa uliyopewa na baba yako kipindi kile ilipatikana katika mazingira ya kifisadi au la.
Yaani mtu ukisema jambo la mtu ambaye anajionesha anapigania ufisadi basi wewe unaonekana FISADI?Period this things will take us pahala pabaya sana
Mengi VS Manji
Mengi vs Comedi
Mengi vs Mkapa
Mengi vs Masha
Mengi vs Mtikila
Mengi vs Gembe
Mengi vs Basaleh
Mengi vs Present owners Kilimanjaro Hotel
Mengi vs Mzungu wa Shamba la Arusha
Mengi vs Present owners Tanganyika Packers
Mengi vs RA?
Mengi vc Masilingi
Mengi vc Hilal(Phantom)
Mengi vc Tramantano(Channel 10)
Mengi vc Ritah Poulsen?
Mengi vs Jeetu Patel
Mengi vs Chenge
Mengi vs Karamagi
Mengi vs Lowassa
Mengi vs Maranda
Mengi vs Subash Patel
Mengi vs Mr/Mrs Mahalu
Mengi vs Mramba
Mengi vs Yona
Mengi vs Mgonja
Mengi vs Liyumba
Mengi vs..???.. (tusubirikesi mpya list iongezeke)
I dont know Mengi at personal level; but ITV; make him present in my life anyways. At begging, in 2007, I could tolerate his presence on the media. However, of recent, for unknown reason whenever Mengi is on, I turn my TV to another channel I am not sure why! Maybe his media strategy has over represented him! Maybe there is no logical of cases his following, which make it impossible for me to appreciate his value. Thus far, I dont understand six things of Mengi!
a) First, I am not sure weather he want to be in politics on not.
b) Second, I am not sure if he is on humanitarian mission or missionary mission
c) Third, I dont know weather he want to be symbolic entrepreneur or symbolic speaker! Of what, I am not sure!
d) Fourth, I am never sure weather he is serious concerned on the matter he stand for, or it is simple a public speech.
e) Fifth, when he speaks I am not sure weather he is speaking to the international community or Tanzania people
e) Six, I am not sure if what he speaks is delivered from his own brain or he uses advisor.
Since, I am not sure of the above; I find it very difficult to understand his interest on ufisadi, weather he acts for his egoistic interests, business gains, or sincerely patriotic causes. I am not sure!
A colleague of mine, beside me critiques me, saying I am biased toward Mengi, as he defines him as a man of people, supporter of communities and an example to follow in media and entrepreneur business. I give him respect for that and I am saying what a person! But I feel I would like to know more about this individual, what his central agenda on Ufisadi! If he is for really!
For me, i think i might appreciate him more, if he provide one hour on ITV each day for citizens to speak their cases to their leaders from now to the election time! To create something, like community court on TV where leaders of government and parliamentary- can be on hard talk and hotlines questioned on their leadership or citizen speak of their issues on their constituency!
Mengi VS Manji
Mengi vs Comedi
Mengi vs Mkapa
Mengi vs Masha
Mengi vs Mtikila
Mengi vs Gembe
Mengi vs Basaleh
Mengi vs Present owners Kilimanjaro Hotel
Mengi vs Mzungu wa Shamba la Arusha
Mengi vs Present owners Tanganyika Packers
Mengi vs RA?
Mengi vc Masilingi
Mengi vc Hilal(Phantom)
Mengi vc Tramantano(Channel 10)
Mengi vc Ritah Poulsen?
Gembe, binafsi sijawahi kumuona Mengi anamfanyia fitina mlalahoi. Vita vyake au ugonvi wake wote ni kati yake na mafisadi. Hata ugomnvi wake na the comedy ulisababishwa na ugonvi wake na Manji, period. Na kwa kifupi tu ni kwamba ugonvi kati ya Mengi na Makaburu wa kitanzania utakoma pale tu mafisadi watakaposhindwa katika vita hivi kati ya mafisadi na walalahoi wa nchi hii! Mwache Mengi awapiganie wanyonge wa nchi hii! [/B]
911,
Mengi anachukia mafisadi
Mafisadi wanamsomesha gembe
Gembe atamchukia mengi ( hii itatokea automatic kama ulivyokili)
Kula nguruwe kwa Muislamu bila kujua sio Dhambi kama utakula nguruwe ukijua basi hiyo ni Dhambi so wewe unajua unakula nguruwe...tukuite nani?
wewe uliyefika hapo unajuaje hata hiyo pesa uliyopewa na baba yako kipindi kile ilipatikana katika mazingira ya kifisadi au la.