Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,367
Sijawasoma hawa siku nyingi sana:
1.bubu ataka kusema
2.sipo
3.Original Pastor
4.lole gwakisa na wengineo mwaweza ongeza
5.
6.
7.
8.
Mu wapi??? Kimya kimezidi !!!!!!
Kuhani
DuaWamefikaje huko?
mbona wapo au hamuwaoni?
mbona wapo au hamuwaoni?
Blazameni.
Huyu jamaa tumemmis sana.
hahaaaaa... naem calling, we ngoja mwenyewe aje hapa na ngonjera zakeHakuna aliyeadimika humu....ni kiasi cha kugundua tu nani anatumia ID gani siku hizi.
Ila Pundit na Bluray nao wameadimika sana siku hizi....:teeth:
Hakuna aliyeadimika humu....ni kiasi cha kugundua tu nani anatumia ID gani siku hizi.
Ila Pundit na Bluray nao wameadimika sana siku hizi....:teeth:
The clue is in the 'Thanks'!