Mbona hadithi yako haiendani na mazingira ya kijijini? Maana umedai ulihadithiwa hadithi hiyo ulipokuwa kijijini, lakini vijijini hakuna ATMs na sidhani kama wanawake wa vijijini wana uwezo wakuwa na dressing tables!
Mbona hadithi yako haiendani na mazingira ya kijijini? Maana umedai ulihadithiwa hadithi hiyo ulipokuwa kijijini, lakini vijijini hakuna ATMs na sidhani kama wanawake wa vijijini wana uwezo wakuwa na dressing tables!
.....hahahahahahaha!ππMbona hadithi yako haiendani na mazingira ya kijijini? Maana umedai ulihadithiwa hadithi hiyo ulipokuwa kijijini, lakini vijijini hakuna ATMs na sidhani kama wanawake wa vijijini wana uwezo wakuwa na dressing tables!
hili hataweza kujitetea mkuu!AMECHEMKA!Serendipity...Uko sahihi kabisa..Its so pity na ni jambo la ajabu sana huyu Mbu anaongelea mambo ya vidani na ATM CARDS vijijini!..Nam'refer asome thread yangu isemayo " Umeishi Kijijini?";, aone uhalisia wa maisha na kinachojiri vijijini...This is too much a FICTION...!hUYU bWANA KUNA WAKATI ALIKUWA NA SIGNATURE ILIYOPATA KUNIFURAHISHA SANA nikiwa ndo naingia jeiefu..Ilikuwa inasema ..."Wanatumia neti kuvua samaki, hawawezi kulala kwenye neti, huku wana njaa" .....Hakika yalikuwa ni maneno yaliyokuwa yananipa hamasa sana na kunikumbusha maisha ya kweli ya vijijini!..Anyway, namsubiri aje atetee hoja hapa!..Mungu ibariki TANZANIA.
...ukamshauri nini??akiiba kwenye ATM change pasword bila kumfahamisha nk
shida inakuwaga pale ambapo spouse ni mwizi aka jambazi, mkewe anaona vitu vya gharama kuliko uwezo wao vinaletwa ndani, mumewe ananunua viwanja na kujenga nyumba zinazoisha chap chap kama magician vile..akimuuliza anasema ati amepata bonge la "dili" halafu baada ya hapo hakuna maelezo zaidi...kuna dada mmoja aliyekuwa kwenye hiyo situation aliniuliza swali kama amripoti mumewe aka baba watoto wake polisi au auchune tu
Naachana na Mbu kwakuwa hajaeleweka bado na hajajikosoa pia.Ni vyema nichangie kuhusu huyu dada kwa kuwa naona ni nzuri kuchangia.situation kama hiyo ni ngumu na inahitaji maamuzi magumu katika wakati sahihi.Kuna mambo mawili hapa ya kuzingatia.akiiba kwenye ATM change pasword bila kumfahamisha nk
shida inakuwaga pale ambapo spouse ni mwizi aka jambazi, mkewe anaona vitu vya gharama kuliko uwezo wao vinaletwa ndani, mumewe ananunua viwanja na kujenga nyumba zinazoisha chap chap kama magician vile..akimuuliza anasema ati amepata bonge la "dili" halafu baada ya hapo hakuna maelezo zaidi...kuna dada mmoja aliyekuwa kwenye hiyo situation aliniuliza swali kama amripoti mumewe aka baba watoto wake polisi au auchune tu
Mi naona kama vile mwenzetu hajajielewa,
au nahisi labda kachanganya mafaili
Labda ndio MABWEKA ya kufungia mwaka.
Naachana na Mbu kwakuwa hajaeleweka bado na hajajikosoa pia.Ni vyema nichangie kuhusu huyu dada kwa kuwa naona ni nzuri kuchangia.situation kama hiyo ni ngumu na inahitaji maamuzi magumu katika wakati sahihi.Kuna mambo mawili hapa ya kuzingatia.kwa ushauri wangu mi naonelea huyu dada atambae na namba mbili hapo,kwa maisha jinsi yalivyo achune apange mipango yake mingine ya kujiweka sawa halafu atambae ikibidi,hana budi kufanya hivyo maana panapodharula lisilobudi hutendwa.kumtosa polisi wakati bado yupo katika ndoa si vyema kutamsusuwika katika maisha yake,atoke kwanza then amtose polisi
- Maisha yanavyotakiwa kuwa na
- Maisha jinsi yalivyo
Kama anaiba ina maana haikuija ghafla, ulijua tangu mwanzo ukakaa kimya. Huyo anahitaji maombi ya kiukweli, kuna tabia nyingine ni embarassment huwezi vumilia. Huwezi mpeleka mwenza wako police afungwe, ufanyeje, shirikisha mapastor wenu ili wamuombee atapona tu.
...ukamshauri nini??
\\huu ubishi wa kijijini hata sioni mantiki yake kwa sababu Mbu kasema kijijini in quotes, ina maana hilo neno lina maana zaidi ya its literal meaning...so inabidi ufikiria zaidi ya hapo, ndo uandishi wa Mbu na wengine wetu hapa. Sio lazima awaambie alikuwa likizo Mwanza au Tanga au Dar au Mbeya au Ntwara (inategemea ntu na ntu)...nilipokuwa 'kijijini' nilihadithiwa visa vingi vya kusikitisha, kimojawapo ni hiki;
...!ndugu,upo?ππ\\huu ubishi wa kijijini hata sioni mantiki yake kwa sababu Mbu kasema kijijini in quotes, ina maana hilo neno lina maana zaidi ya its literal meaning...so inabidi ufikiria zaidi ya hapo, ndo uandishi wa Mbu na wengine wetu hapa. Sio lazima awaambie alikuwa likizo Mwanza au Tanga au Dar au Mbeya au Ntwara (inategemea ntu na ntu)
Nikirudi kwenye hoja ya msingi ni kwamba mi naona ni kitu cha ajabu sana kuwa na mpenzi mdokozi huyu atakuwa anajiibia hata yeye mwenyewe! Kama akianza ivo ujue kuna wakati itafika atakuliza kiukweli ukweli!
...hivi ni halali kweli kuishi maisha ya ndoa halafu mkeo.mumeo asijue PIN ya account zako benki kweli? incase unapatwa na dharura itakuwaje? anyway...
Hiyo case ya mwanadada kuchukuliwa vito vyake vya dhahabu bado halijapatiwa ufumbuzi...yataka moyo kusubiria majibu toka kwa Mw'Mungu, ilhali unaishi na 'kibaka' ndani...
Kwenye ndoa kuna mengi, si ajabu katika baadhi ya nyumba matendo haya yapo sana, lakini kama alivyosema nanihii, it's very embarrasing kuyaelezea hadharani, unless wakikorofishana ndio siri zinaanikwa hadharani...
kuna mifano ''halisi'' kabisa ninayo jamaa anaishi na mkewe kama ASKARI NA MHALIFU!....hatari tupumi nizungumzie hapo tu kuw ainategemeana mnaaminiana kiasi gani, unajua kuna wengine wameolewa basi tena ndo hawana haki ya kujua kipato cha mume/mke nk, so hata kujua ivo vitu sio rahisi