Lakini hivi kweli tunahitaji mc? Kwa nini tusianze kubeba huu mzigo wenyewe halafu tuone jamaa watakimbilia wapi! Vichekesho ni vile vile, hadithi ni zile zile sasa kinatushinda nini? Tuefika mahali hata kwenye basdei na misiba na kwenyewe tunakodi em si! Au ndio status symbol ya siku hizi?
Amandla........
This is just a case of the chicken coming home to roost.
Wanaom-book MC wanataka mtu mwenye manjonjo, madoido mengi, anayeweza kui hype shughuli kuliko hata ilivyo kikweli (mambo mengine yanayosemwa na kufanywa na hawa ma MC ni aibu kwa mtu mwenye maadili yake)mtu tapeli tapeli hivi.
Kwa hiyo haishangazi sana mtu kama huyo akianza mtini, akifanya deliberate double bookings etc.
Kama alivyosema Fundi, badala ya kumchukua MC ambaye most probably hata hawajui maharusi, ingependeza kuwa na mtu wa karibu anayeweza kuifanya kazi hii ambaye mara nyingi anaweza kuweka personal and real anecdotes za maisha ya maharusi, badala ya kutegemea tired and recycled packaged jokes.

Nimemuambia First Born wangu kuwa harusi yake sitachangisha mtu zaidi ya kile tulichonacho na watakacholeta ndugu, MC atakuwa baba yake mkubwa, Wapishi watakuwa ni shangazi zake, mama wakubwa na mama wadogo zake ambao pia watakuwa wapambaji na mchukuaji wa video atakuwa mdogo wake, harusi imefanyika!!!!
Reply With Quote

...Usikimbie kivuli chako, Mkuu! Hakuna aliyesema ama anayetaka kudharau kazi ya MC! Swali ni je ina ulazima sana katika sherehe ya harusi? Wazazi wangu na wazazi wako walipofunga ndoa yao walikuwa na MC? Kama hawakuwepo, je sherehe ya ndoa yao haikufana sawa na ya watoto wao miaka 40 baadaye iliyokuwa na MC? Je harusi ambazo hazikuajiri MC, pamoja na family zao kuwa na kipato cha kutosha tu, hazihesabiwi kufana kwa vile ziliamua kuwa MC awe baba mdogo wa Bwana Harusi??
Mkuu, Ni Kweli kazi ya MC ni fani, lakini kama ilivyo kwenye music, sinema, soka, uanashera nk sio kila anayeshiriki kwenye fani hizo basi na ana Kipaji na fani husika, wengine walipaswa kuwa watizamaji tu!!!
All in All, yapo maeneo mengi tu katika jamii yetu ambayo maMc wanaweza kupata ajira, mikutano, makongamano, semina, graduations na kadhalika na kadhalika! In my Son's wedding I can do without them...and I will!!! That is my right, Isn't it??
After all, wedding ceremonies are just for celebrating the joining together of Two Persons in Love and should not be eneo la watu kujipatia ajira...!!!
Are you One of them, Brother? teh teh. Jas' kiddin'!