Mbunge wa CCM kupitia tiketi ya Umoja wa Vijana, Lucy Mayenga, amepata ajali ya gari usiku wa kumkia leo na kunusurika kifo. Kwa mujibu wa mtoa habari wetu Lucy alipata ajali hiyo akiwa safarini kwenda Dodoma katika eneo la Chalinze, kilomita 40 kabla ya kufika Dodoma mjini. Habari zaidi zinapasha kuwa Lucy ndiye aliyekuwa akiendesha hiyo gari Toyota Landcruiser VX yenye namba T 681 BCV, alipatwa na majereha kiasi na hali yake inaelezwa kuwa siyo mbaya, ingawa anatarajia kwenda hospitali ya Muhimbili kwa uchunguzi zaidi.
pole sana dada,tibiwa muhimbili usiende nje ya nchi.
Acheni ubahiri, tunavibaka wengi sana mtaani ambao wanaweza kuwa madereva wazuri tu......toeni ajira kwa vijana!.....Habari zaidi zinapasha kuwa Lucy ndiye aliyekuwa akiendesha hiyo gari Toyota Landcruiser VX yenye namba T 681 BCV.......!
Acheni ubahiri, tunavibaka wengi sana mtaani ambao wanaweza kuwa madereva wazuri tu......toeni ajira kwa vijana!
Anyway.....pole sana!
Sasa hivi yuko njiani kuja Muhimbili kwa matibabu zaidiMungu masaidie apone pamema. Yuko hospital au amerehusiwa?
Mungu amsaidie apone mapema aje tushiriki ujenzi wa taifa.
pole sana dada,tibiwa muhimbili usiende nje ya nchi.
Lucy Mayenga, amepata ajali ya gari usiku wa kumkia leo
Lucy ndiye aliyekuwa akiendesha hiyo gari