Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
ni haki yako kikatiba.....hamia popote upendapoMmmh! Nahama chadema.
Mbowe ana Elimu ya darasa la 7 lakini anaburuza hata member wasomi wa Jamii Forums.
Aliwahi lini kuwa CDM?ni haki yako kikatiba.....hamia popote upendapo
Dhuluma imeota mizizi ndani ya CHADEMA. Nilitamani ninyamaze lakini kunyamaza hata pale haki ya WALEMAVU wanyonge inapoporwa ni kushiriki uporaji wa haki hiyo. Uporaji huu wa kumteua Bi Catherine Ruge kuwa mbunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya marehemu Elly Macha ni dharau, dhuluma na kashfa kwa walemavu wote bila kujali itikadi za vyama.
Naamini kwa dhuluma hii na kumkosea heshima Marehemu Daktari Elly Macha hata jeneza na mwili wake unazunguka huko kaburini kwa kukosa amani. Ni juzi tu CHADEMA kilijizatiti kupora haki za kinamama katika ubunge wa bunge la Afrika Mashariki watanzania tukalaani hatimaye tukazima jaribio hilo. Leo tena Mbowe huyuhuyu kwa kushibisha matamanio yake anatuletea "mlemavu" wake tata.
Hongera Bi Ruge japokuwa ulemavu wako siuoni labda mwenyekiti anaujua ulemavu wako kiundani zaidi. Je ulemavu wako ni nini ili watanzania wajue, maana ulemavu wa marehemu Elly Macha ulikuwa wa macho na tulikuwa tunauona? Hivi CHADEMA na UKAWA haina WALEMAVU wanaoonekana ukiachana na ulemavu anaouona Mbowe kwa mlemavu huyu Catherine? Bado naamini laana ya Dr Slaa na Chacha Wangwe inaiandama CHADEMA?
Je kama CHADEMA kimeweza kuwatenda WALEMAVU ubaya huu, watawatenda vipi BAWACHA na watanzania kwa ujumla? SITANYAMAZA nasikia harufu ya RUSHWA hapa.
Remy Cameroon

Mkuu, msamehe huyo. Utakuta kaweka shingo upande anaandika kwa madoido! HahahahaaaSijui kwa nn posts za hovyo kama hizi hazifutwi
Wewe jamaa nimekudharau sana, umekurupuka tu huko na kuja kutoa povu, na nimeona ulivyo mbumbumbu wa kiwango cha juu kabisa...Dhuluma imeota mizizi ndani ya CHADEMA. Nilitamani ninyamaze lakini kunyamaza hata pale haki ya WALEMAVU wanyonge inapoporwa ni kushiriki uporaji wa haki hiyo. Uporaji huu wa kumteua Bi Catherine Ruge kuwa mbunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya marehemu Elly Macha ni dharau, dhuluma na kashfa kwa walemavu wote bila kujali itikadi za vyama.
Naamini kwa dhuluma hii na kumkosea heshima Marehemu Daktari Elly Macha hata jeneza na mwili wake unazunguka huko kaburini kwa kukosa amani. Ni juzi tu CHADEMA kilijizatiti kupora haki za kinamama katika ubunge wa bunge la Afrika Mashariki watanzania tukalaani hatimaye tukazima jaribio hilo. Leo tena Mbowe huyuhuyu kwa kushibisha matamanio yake anatuletea "mlemavu" wake tata.
Hongera Bi Ruge japokuwa ulemavu wako siuoni labda mwenyekiti anaujua ulemavu wako kiundani zaidi. Je ulemavu wako ni nini ili watanzania wajue, maana ulemavu wa marehemu Elly Macha ulikuwa wa macho na tulikuwa tunauona? Hivi CHADEMA na UKAWA haina WALEMAVU wanaoonekana ukiachana na ulemavu anaouona Mbowe kwa mlemavu huyu Catherine? Bado naamini laana ya Dr Slaa na Chacha Wangwe inaiandama CHADEMA?
Je kama CHADEMA kimeweza kuwatenda WALEMAVU ubaya huu, watawatenda vipi BAWACHA na watanzania kwa ujumla? SITANYAMAZA nasikia harufu ya RUSHWA hapa.
Remy Cameroon
Dhuluma imeota mizizi ndani ya CHADEMA. Nilitamani ninyamaze lakini kunyamaza hata pale haki ya WALEMAVU wanyonge inapoporwa ni kushiriki uporaji wa haki hiyo. Uporaji huu wa kumteua Bi Catherine Ruge kuwa mbunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya marehemu Elly Macha ni dharau, dhuluma na kashfa kwa walemavu wote bila kujali itikadi za vyama.
Naamini kwa dhuluma hii na kumkosea heshima Marehemu Daktari Elly Macha hata jeneza na mwili wake unazunguka huko kaburini kwa kukosa amani. Ni juzi tu CHADEMA kilijizatiti kupora haki za kinamama katika ubunge wa bunge la Afrika Mashariki watanzania tukalaani hatimaye tukazima jaribio hilo. Leo tena Mbowe huyuhuyu kwa kushibisha matamanio yake anatuletea "mlemavu" wake tata.
Hongera Bi Ruge japokuwa ulemavu wako siuoni labda mwenyekiti anaujua ulemavu wako kiundani zaidi. Je ulemavu wako ni nini ili watanzania wajue, maana ulemavu wa marehemu Elly Macha ulikuwa wa macho na tulikuwa tunauona? Hivi CHADEMA na UKAWA haina WALEMAVU wanaoonekana ukiachana na ulemavu anaouona Mbowe kwa mlemavu huyu Catherine? Bado naamini laana ya Dr Slaa na Chacha Wangwe inaiandama CHADEMA?
Je kama CHADEMA kimeweza kuwatenda WALEMAVU ubaya huu, watawatenda vipi BAWACHA na watanzania kwa ujumla? SITANYAMAZA nasikia harufu ya RUSHWA hapa.
Remy Cameroon
Kweli chuki huondoa hekima; umejiridhisha na utaratibu wa kujaza nafasi hizi? Juzi mwenyekiti wa UWT alipoteza ubunge unajua aliyechukua nafasi hiyo? Mimi naamini kuna utaratibu uliowekwa na katiba hivyo usipende kuchafua watu bure. Halafu hii picha inasaidia nini? Dress code inaendana na tukio eleza alikuwa wapi siku hiyo? mambo mengine ni ushamba tu unasumbuaDhuluma imeota mizizi ndani ya CHADEMA. Nilitamani ninyamaze lakini kunyamaza hata pale haki ya WALEMAVU wanyonge inapoporwa ni kushiriki uporaji wa haki hiyo. Uporaji huu wa kumteua Bi Catherine Ruge kuwa mbunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya marehemu Elly Macha ni dharau, dhuluma na kashfa kwa walemavu wote bila kujali itikadi za vyama.