Mbona google haifunguki

Hata mimi ni vilevile,sasa natumia dukdukgo kuingia jf
Duh... kumbe tupo wengi....? nimejaribu kutumia browser bado ni vilevile tu. hapa itabidi nifafute search engine nyingine.
 
Ndugu mteja umetumia 75% ya kifurushi chako cha intaneti. MB zilizobaki ni 145.

Ongeza salio.
MB 145 mkuu, natumia miezi zaidi ya miwili kwa bando la airtel, sasa nashangaa leo kulikoni.
 
MB 145 mkuu, natumia miezi zaidi ya miwili kwa bando la airtel, sasa nashangaa leo kulikoni.
Labda uzitumie JF tu ambayo haili sana MB.

Ila ukienda huko social media zingine, within a second, MB zinamezwa zote.
 
Labda uzitumie JF tu ambayo haili sana MB.

Ila ukienda huko social media zingine, within a second, MB zinamezwa zote.
Indeed... mimi natumia kusoma na kuangalia picha tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ