mkuu nimekupata unajaribu kuwakilisha kundi la watu fulani.
je, maeneo mengi hapa tanzania na duniani kote hakuna wazanzibari?
wapemba mko wengi tena mnafanya vema kwenye biashara zenu sasa je wenyeji waanze kuwalalamikia uwepo wenu?
nadhani mtu yeyote ana haki ya kuishi kokote mradi havunji sheria.
Vigezo vya kuwa sheha ni vipi.......??? Uislamu.......??? ....Umsikiti........??? Ukristo......??? ........Ukanisa........???Assalamu alykum.
Nduguzanguni hebu tutafakarini masuala haya kwa makini.
- Vipi watu hawa wanapata ardhi wakati ardhi yote ni ya waislamu?
- Makanisa yanatumika kuweka watu kutoka nje ya Zanzibar kwa lengo gani?
- Kwanini Pasta wa kanisa la Mwera ndie Sheha wa Shehia hiyo? Nani alompa usheha huo? Kwanini waislamu wa hapo wakakubali kuongozwa na Pasta wakati yeye shughuli zake ni za kanisa?
source:Zanzibar, wahamiaji na makanisa
- Wimbi la wahamizi kutoka nje ya Zanzibar lina lengo la kisiasa, kidini au yote?
- Jee serikali inawapa support wahamizi hawa kupitia vitambulisho vya ukaazi kwa vile wengi wao wanavyo na waliostahili hawakupewa? Nini lengo la serikali hapa, kuwaondoa wazanzibari halisi na kusimika wageni watawale nchi hii?
- Jee hatuoni athari za kuvamiwa na wageni huku wakinunua ardhi na kujenga makanisa kuwa zitawarithisha vizazi vijavyo kadhia kama ya Palenstina na Israeli?
- Nini hatma ya Zanzibar chini ya mpango huu wa wahamiaji na makanisa?
- Kwanini wazanzibari wako kimya hawachukui hatua yoyote, au wanasubiri ushahidi kamili?
Usiwe na tabia ya ku-copy na ku-paste vitu usivyoweza kuvitetea kwa hoja........Ulivyoiweka ni kama mtazamo wako ndiyo upo hivyo......... unaulizwa unajitoa............mimi nilichokifanya ni ku-copy and paste, siwakilishi huo ujumbe hata kidogo kwani mi sio mzanzibara yahe..
Ila kuna tatizo la hawa jamaa kulingana na nilivyofatilia hiyo makala yao, kwa nii wanakuwa na ubaguzi hivyo? hivi huwa wanabaguliwa na wenyewe huko bara? mbona tunaona misikiti karibu kila mtaa dar /bara lakini sijawahi kuona watu wakilaumu?..kwa hali hii sijui kama tutafika tunakoelekea..
Vigezo vya kuwa sheha ni vipi.......??? Uislamu.......??? ....Umsikiti........??? Ukristo......??? ........Ukanisa........???
"MOB PSYCHOLOGY" ...................huwa inawasumbua sana hawa bandugu...........Waislamu huwa siwaelewi hata kidogo! Wakiwa wachache huwa ni watu wema sana, hawana fujo hata kidogo, wakiongezeka kidogo huwa wanaanza madai ya "kuonewa," wakiwa wengi ndio inakuwa balaa, wanakuwa wababe kupindukia! Hii mahakama ya kadhi na mambo ya oic ni mlango tu wa kuingilia, kimbembe kiko mbele ya safari, huyu Membe ndio atakuwa wa kwanza kulipuliwa mabomu!
mimi nilichokifanya ni ku-copy and paste, siwakilishi huo ujumbe hata kidogo kwani mi sio mzanzibara yahe..
Ila kuna tatizo la hawa jamaa kulingana na nilivyofatilia hiyo makala yao, kwa nii wanakuwa na ubaguzi hivyo? hivi huwa wanabaguliwa na wenyewe huko bara? mbona tunaona misikiti karibu kila mtaa dar /bara lakini sijawahi kuona watu wakilaumu?..kwa hali hii sijui kama tutafika tunakoelekea..
ningekuwa na uwezo wewe sijui ningekufanya niniWaislamu huwa siwaelewi hata kidogo! Wakiwa wachache huwa ni watu wema sana, hawana fujo hata kidogo, wakiongezeka kidogo huwa wanaanza madai ya "kuonewa," wakiwa wengi ndio inakuwa balaa, wanakuwa wababe kupindukia! Hii mahakama ya kadhi na mambo ya oic ni mlango tu wa kuingilia, kimbembe kiko mbele ya safari, huyu Membe ndio atakuwa wa kwanza kulipuliwa mabomu!
ningekuwa na uwezo wewe sijui ningekufanya nini