Dr Nchimbi E
Dr Matayo David Matayo
Dr Mary Nagu
Dr Makongoro Mahanga
Dr Kamala D
Mbona wapo wengi is more than 4 waliofichwa majina hapo!!
Dr Nchimbi E
Dr Matayo David Matayo
Dr Mary Nagu
Dr Makongoro Mahanga
Dr Kamala D
Mbona wapo wengi is more than 4 waliofichwa majina hapo!!
Sidhani kama Rais Kikwete anajali. Alishasema "kelele za mlango hazimsumbui ......" kuhusu so-called mheshimiwa Chitalilo. Kwake naona bora siku iende tu.
Hata hivyo Source ni JF, hawatoi credit kwetu japo sisi tunasisitiza mara zote magazeti kupewa credit. Hata hivyo ni vema hoja hii hatimaye imeanza kusikika kwa jamii.Tanzania Daima nao, si wangewaelekeza wasomaji wake JF where we dare to talk openly?
...not so fast hapo,kuna tofauti kubwa kati ya forgery na unaccredited,sio kama natetea substandard yeyote katika credential za mtu lakini huwezi kushtaki mtu au kumwita ameghushi vyeti kwa sababu vimetolewa na unaccredited school,swala la kihiyo ni tofauti na hawa...najua politically kuna some price to pay kwa issue kama hizi,solution ni kuwaondolea doctorate zao tuu na kuwaambia hazitambuliki!

Washington International University is an unaccredited institution of higher education founded in 1994 and currently incorporated in the British Virgin Islands. It describes itself as a "university without borders", serving clients from around the world via distance education. The university website states that WIU's graduates have come from 112 countries. he university has not sought educational accreditation and does not have a campus.
The Oregon Office of Degree Authorization stated that "[WIU is] operating illegally in Pennsylvania according to PA Department of Education. WIU is forbidden to advertise or offer its programs in Australia".