Bongo Lala
Member
- Apr 21, 2008
- 30
- 0
...............wazee wa leo si ndo vijana wa jana kwa hiyo ndumu wanaiendeleza kama kawa......
We huoni kama umeshakuwakichaa kwa kuwakilisha wabangebange wenzako?Mvuta bange ni mvuta bange tuu,na kuna ukichaa ndani yao,kama si ukichaa ninini,mbona mkitaka kuvuta mpaka mjifiche?Alafu kibaya zaidi kwa kichaa ni kwamba anajiona ni mzima tuu!!kuna kitu nimegundua kwamba matumizi ya bangi yameongezeka sana hapa nchini, tofauti na zamani ambapo vijana ndio walikua watumiaji wakubwa wa kilevi hicho sasa hata watu wazima wenye kazi za heshima wanatumia kilevi hicho. Japo vijana wengi hasa wanaojihusisha na bongo flava ndio wanaoweza kuwa wanaongoza kwa kula ndumu bado kuna maafisa jeshi, polisi, wanasiasa, waandishi wa habari, walimu nk ambao wanakula msuba
sasa swali ni kwamba matumizi hayo yana athari gani kwa perfomance katika kazi na je wataalam wa afya wanalizungumzia vipi? zamani tulikua tunaambiwa ukivuta bangi unakua kichaa lakini mbona kuna watu wamevuta kwa muda mrefu lakini hawana hata dalili za ukichaa.
nawakilisha!
Duu,kweli bange mbaya lakini the way unavyotaka tuwanyanyapae wadau wake hata vitabu vya dini vinakushtaki,hivi siku ukiishi na mkoma itakuwaje?si utakimbia nyumba!!Je,utajisikiaje ukigundua kuwa baba yako ni mdau wa hiyo kitu since alipokuwa shule,na bado anaendeleza msebenzo?Bangi ina madhara makubwa. Lakini nadhani there is no need to panic,kama kwa mfano ukimuona mtoto wako anavuta bangi. There is time to reason with him,you don't have to come out with guns blazing. You don't have to take action right away. Bangi ina madhara. Usikae karibu na mtu anayevuta bangi,usikae anywhere near such a person,if you can help it.