...Tanzania, Bwana! Utadhani tuna uchache wa wataalamu kiasi cha mtu mmoja kupata ulaji huku na kule kwa mpigo!
...Tanzania, Bwana! Utadhani tuna uchache wa wataalamu kiasi cha mtu mmoja kupata ulaji huku na kule kwa mpigo!
mimi nauliza hivi ni njia gani walala hoi tutumie ili kudhibiti viongozi wabovu?
tz mtu haangaliwi ana ujuzi gani ,unaangaliwa nani anakujuwa.hii nchi bora tumrejeshee mkoloni.tupo 40 million lakini wanaochaguliwa kila siku ni hao hao.jk pls tunakwambia hii nchi ni yetu sote.
tz mtu haangaliwi ana ujuzi gani ,unaangaliwa nani anakujuwa.hii nchi bora tumrejeshee mkoloni.tupo 40 million lakini wanaochaguliwa kila siku ni hao hao.jk pls tunakwambia hii nchi ni yetu sote.
...hslsfu hao viongozi wanadhani WATANZANIA ni recycledJamani lakini si walisema badala ya kutumia vitu vipya which vitacost a lot of energy to make, ni bora tutumie recyles? Ama nakosea maana ukiangalia toileti paper ni recyle, paper plates recycle, vyuma recyled, viongozi wetu nao recycled sasa kuna ubaya ganii??
Tanzania, Bwana! Utadhani tuna uchache wa wataalamu kiasi cha mtu mmoja kupata ulaji huku na kule kwa mpigo!