Amoeba
Tunajishughulisha na mikopo ya kilimo kupitia taasisi za fedha zenye masharti nafuu kwa ajili ya zana za kilimo na matrekta.
Karibu sana!!
View attachment 14317John Deere, kampuni yenye uzoefu wa muda mrefu katika uzalishaji wa zana za kilimo na matrekta, imeingia Tanzania na inauza matrekta madhubuti kwa thamani halisi ya fedha zako.
Ofisi zetu zipo jijini dar es salaam, maeneo ya moroco katika mtaa wa ursino pembezoni mwa barabara iendayo mwenge.
Kwa maulizo na maelezo zaidi piga simu namba: 0782 847456 au 022 2772775, e-mail: sales@csstanzania.com.
Bei zetu ni kama ifuatavyo:
Pia tunafanya matengenezo baada ya mauzo na tunatoa guarantee ya mwaka mzima na kuuza spea za trekta zinapatikana Tanzania nzima kwa wakati muafaka na sehemu husika.
- John Deere 5303, (2wd, 55hp), $ 17,720.00
- John Deere 5403, (2wd, 65hp), $ 19,000.00
- John Deere 5403, (4wd, 65hp), $ 22,290.00
- John Deere 5503, (2wd, 75hp), $ 22,120.00
- John Deere 5503, (4wd, 75hp), $ 25,310.00
Hizo bei ni kwa ajili ya matrekta mapya.
Amoeba
Haujalifanyia kazi ndio maana unasema wanzikataa, kama unayo hiyo hati ya kimila nakuomba uje na copy ya hiyo hati. nakuhakikishia utapata mkopo wa zana za kilimo.
Kiufupi kaa ukijua kuwa hati za kimila zinakubalika kwa asilimia 100%.
Karibu kama unaswali jingine!!!
John Deere
kaka nimekusoma ila nina wasiwasi hapo hakuna fisadi yeyote?tusije tukawachangia hao watu kwasababu tunampango wa kuwatoa baru.View attachment 14317John Deere, kampuni yenye uzoefu wa muda mrefu katika uzalishaji wa zana za kilimo na matrekta, imeingia Tanzania na inauza matrekta madhubuti kwa thamani halisi ya fedha zako.
Ofisi zetu zipo jijini dar es salaam, maeneo ya moroco katika mtaa wa ursino pembezoni mwa barabara iendayo mwenge.
Kwa maulizo na maelezo zaidi piga simu namba: 0782 847456 au 022 2772775, e-mail: sales@csstanzania.com.
Bei zetu ni kama ifuatavyo:
Pia tunafanya matengenezo baada ya mauzo na tunatoa guarantee ya mwaka mzima na kuuza spea za trekta zinapatikana Tanzania nzima kwa wakati muafaka na sehemu husika.
- John Deere 5303, (2wd, 55hp), $ 17,720.00
- John Deere 5403, (2wd, 65hp), $ 19,000.00
- John Deere 5403, (4wd, 65hp), $ 22,290.00
- John Deere 5503, (2wd, 75hp), $ 22,120.00
- John Deere 5503, (4wd, 75hp), $ 25,310.00
Hizo bei ni kwa ajili ya matrekta mapya.
BEI YA PEMBEJEO ZA KILIMO
(1). 3 BOTTOM DISC PLOUGH FOR 50HP-65HP TRACTOR: 3,290,000/=
(2). 4 BOTTOM DISC PLOUGH FOR 75HP-85HP TRACTOR: 4,232,000/=
(3). DISC HARROW FOR 55HP-65HP (9x9): 3,578,000/=
(4). DISC HARROW FOR 65HP-75HP (10x10): 4,940,000/=
(5). ROTARY TILLER, TILLAGE WIDTH 175cm, 42BLADES FOR 50HP-60HP TRACTOR: 4,466,000/=
(6). ROTARY TILLER, TILLAGE WIDTH 200cm, 48BLADES FOR 65HP-75HP TRACTOR: 4,822,000/=
(7). TRAILER 5Tons FOR 50HP-70HP TRACTOR: 9,397,500/=
(8). TRAILER 9Tons FOR 70HP-90HP TRACTOR: 10,950,200/=
Angalizo:
Bei ya weza kubadilika wakati wowote kulingana na viwango vya dola ya marekani (Bei iliyotumika kubadilisha dola ya Marekani ni 1,500.00 ya tarehe 30.09.2010)[/FONT]
Mawasiliano: +255 782 847456 au sales@csstanzania.com
Kwa sasa ni Kiasi gani?BEI YA PEMBEJEO ZA KILIMO
(1). 3 BOTTOM DISC PLOUGH FOR 50HP-65HP TRACTOR: 3,290,000/=
(2). 4 BOTTOM DISC PLOUGH FOR 75HP-85HP TRACTOR: 4,232,000/=
(3). DISC HARROW FOR 55HP-65HP (9x9): 3,578,000/=
(4). DISC HARROW FOR 65HP-75HP (10x10): 4,940,000/=
(5). ROTARY TILLER, TILLAGE WIDTH 175cm, 42BLADES FOR 50HP-60HP TRACTOR: 4,466,000/=
(6). ROTARY TILLER, TILLAGE WIDTH 200cm, 48BLADES FOR 65HP-75HP TRACTOR: 4,822,000/=
(7). TRAILER 5Tons FOR 50HP-70HP TRACTOR: 9,397,500/=
(8). TRAILER 9Tons FOR 70HP-90HP TRACTOR: 10,950,200/=
Angalizo:
Bei ya weza kubadilika wakati wowote kulingana na viwango vya dola ya marekani (Bei iliyotumika kubadilisha dola ya Marekani ni 1,500.00 ya tarehe 30.09.2010)