Mpita Njia
Platinum Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,189
Sasa kwa nini hawakuweka majina ya watahiniwa!
Invisible,
Nimegundua hii tayari imekuwa posted sehemu, nikataka kuifuta, naona umeondoa hiyo option kwanini?
naomba ifute hii basi.
Mkuu Mbalawata, ni somo ambalo vijana wetu wengi wamejengewa imani kuwa "NI GUMU" na mbaya zaidi wanafunzi walio wengi hujikuta wanawachukia walimu wa somo hili. Kosa jingine ni kuwa walimu wa somo hili katika shule za awali (msingi na sekondari) hufundisha kwa mikwara mingi huku wengi wakiwa wamegubikwa na ubabaishaji mkubwa kitu ambacho huwakatisha tamaa vijana walio wengi ya kusoma somo hili.Kwanini somo la hisabati watu hufeli sana, yaani asilimia 75.67 wamefeli?
Na kila mwaka hisabati huongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi waliofanya vibaya! Why?
Last edited by Mwiba & Kibunango!Shule 10 za mwisho zenye watahiniwa 35 au zaidi
1. Selembala (Morogoro)
2. Kilindi (Pemba)
3. Ngwachani (Pemba)
4. Michiga (Mtwara)
5. Ummussalama (Pwani)
6. Chunyu (Dodoma)
7 Busi (Dodoma)
8. Uondwe (Pemba)
9. Nala (Dodoma)
10. Maawal (Tanga)
Shule 10 za mwisho zenye watahinwia chini ya 35
1. Juhudi Academy (Zanzibar)
2. Mima (Dodoma)
3. Selenge (Singida)
4. Kijini (Zanzibar)
5. Kwamkoro (tanga)
6. kwala (Pwani)
7. Mtende (Zanzibar)
8. Ng'hoboko (Shinyanga)
9. Mbuzini (Pemba)
10. Mwadui Technical (Shinyanga)
matokeo zaidi yanapatikana kwenye tovuti ya nect (The National Examinations Council of Tanzania) au www. matokeo.necta.go.tz
Mkuu Mbalawata, ni somo ambalo vijana wetu wengi wamejengewa imani kuwa "NI GUMU" na mbaya zaidi wanafunzi walio wengi hujikuta wanawachukia walimu wa somo hili. Kosa jingine ni kuwa walimu wa somo hili katika shule za awali (msingi na sekondari) hufundisha kwa mikwara mingi huku wengi wakiwa wamegubikwa na ubabaishaji mkubwa kitu ambacho huwakatisha tamaa vijana walio wengi ya kusoma somo hili.
Ni somo nilililokuwa nikilipenda sana pamoja na fizikia, huwa nasikitika kuona masomo haya yakiwapelekesha wengi.
Haya sasa nini, ugomvi huo!Last edited by Mwiba & Kibunango!
Mkuu Mbalawata,Mkuu Invisible, Heshima yako
Unazungumziaje swala la uandaaji wa walimu hasa shule za msingi (Primary teachers training)? Je aliefeli maths form 4 anastaili kuwa mwalimu wa hisabati, tena anategemewa, kama hayupo darasa la saba halifundishwi? Nilisikia kuwa Mungai alitaka watu wenye division one waende uwalimu, tena diploma holder wafundishe primary, degree wasundishe secondary (o-level) kwasababu watakuwa wame-specialize. Sijajuwa kama hii paradigm shift ni kweli aliipendekeza Mungai. Je kama kweli, wazo lake linaweza kupunguza failures? Kwanini shule zingine hawana failures wengi wa maths? either hakuna kabisa au wapo wachache waliofeli? Wana walimu wanamna gani? Too much part-time and form six leavers inaweza kuchangia? Samahani kama nimekuwa biased
Nadhani Maths inabidi ifikie kipindi kwa Shule za msingi na Upili (secondary) iwe ni LAZIMA (Compulsory)