Sina uhakika kama watu wawili tofauti wakiwa wanamshitaki mtu mmoja kwa kosa linalofanana ni lazima waunganishe mashitaka kwenye jalada moja!!Da..
Hivi kwa nini hizo kesi wasingeziunganisha kwenye jalada moja?
Maana zinafanana
Washikaji wake wa Saigon wameshindwa kumsaidia.
hivi haji Manara sio yule mtoto wa sunday manara yule zeruzeru?samahani ninauliza tu kwa heri tu bila shari
Siyo yeye. Sunday Manara ssiyo mlemavu wa ngozi aka zeruzeru. Kiswahili ndugu.hivi haji Manara sio yule mtoto wa sunday manara yule zeruzeru?samahani ninauliza tu kwa heri tu bila shari
Siyo yeye. Sunday Manara ssiyo mlemavu wa ngozi aka zeruzeru. Kiswahili ndugu.