Manchester United yamtimua Michael Carrick

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
454
Reaction score
1,146
Klabu ya Manchester United imeamua kumfuta kazi kocha Michael Carrick kufuatia tathmini ya ndani iliyofanyika ndani ya saa 48 zilizopita.

1794478122496.png

​
Kwa mujibu wa taarifa hizo, uamuzi huo tayari umefikiwa na uongozi wa klabu, huku Carrick akipewa taarifa rasmi kuhusu kutimuliwa kwake leo.

Hatua hiyo inahitimisha safari ya Carrick ndani ya klabu hiyo katika nafasi yake ya ukocha, kufuatia uamuzi wa viongozi wa Manchester United kufanya mabadiliko katika benchi la ufundi.

Taarifa zinaeleza kuwa Carrick ameshapewa taarifa rasmi kuhusu uamuzi huo, huku safari yake ndani ya klabu hiyo ikifikia mwisho.

Karrick amaecheza
Michezo 32
Kushinda 15
Sare 8
Kupoteza 9

Alianza kazi Januari 2026 kama kocha wa muda baadae Mei 2026 akawa kocha mkuu na amefutwa kazi Novemba 2026.

Pia soma: Manchester United inatazamia kumfuta kazi kocha wake mkuu, Michael Carrick

Mechi zijazo za Manchester United​

1. Liverpool (Ugenini) – Ligi Kuu England, Jumapili, Novemba 22. Itaonyeshwa mubashara kupitia Sky Sports.

2. Sporting (Ugenini) – Ligi ya Mabingwa Ulaya, Jumatano, Novemba 25.

3. Brentford (Nyumbani) – Ligi Kuu England, Jumamosi, Novemba 28.

4. Newcastle (Ugenini) – Ligi Kuu England, Jumatano, Desemba 2. Itaonyeshwa mubashara kupitia Sky Sports.

5. Coventry (Nyumbani) – Ligi Kuu England, Jumamosi, Desemba 5.

6. RB Leipzig (Nyumbani) – Ligi ya Mabingwa Ulaya, Jumanne, Desemba 8.

=============
Manchester United can confirm that Michael Carrick has departed his role as men’s first-team head coach.
Michael rejoined the club in January and guided the team to a third-placed Premier League finish by winning 12 out of the remaining 17 games of the 2025/26 season, accumulating the highest points tally in the league during that period.

After a disappointing start to the season, the club has come to the extremely difficult conclusion that a change is necessary in order to achieve our ambitions.

Michael is, and always will be, a Manchester United legend. Just as he did as a player, he has conducted himself with the highest standards of dedication and professionalism throughout his time back with the club. His leadership and achievements last season will always be fondly remembered.

The club intends to appoint a permanent successor as quickly as possible.
 
Man utd watajutia huu uamuzi sana, hata walete kocha gani bado wachezaji wengi sio wa level za kuchezea utd.
Mfano badala wasajili mbadala mzuri wa casemiro wakaenda kumleta santos
Konsa alikuwa sokoni ila hawakumchukua
Rogers morgan alikuwa sokoni pia
 
Carrick bado alikua mzuri.
Alihitaji muda kama makocha wengine, lkn Man U ni club inahitaji matokeo.
Msimamo wa lig sio mzuri team ingekua hata kwenye top 4 au big 6 sawa ila kwenye msimamo wa kushuka daraja hapana.
Muarejentina naye ni mtu wa team ndogo sio level ya Man U.
Conte ni Msimu
Howe ni team ndogo pia.
Mjerumani pia bado hawezi kuhimili EPL
Napendekeza Massimo Allegri anafaa pale Man U
 
Huu sasa ujuaji
 
Klabu ya Manchester United imeamua kumfuta kazi kocha Michael Carrick kufuatia tathmini ya ndani iliyofanyika ndani ya saa 48 zilizopita.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, uamuzi huo tayari umefikiwa na uongozi wa klabu, huku Carrick akipewa taarifa rasmi kuhusu kutimuliwa kwake leo.

Hatua hiyo inahitimisha safari ya Carrick ndani ya klabu hiyo katika nafasi yake ya ukocha, kufuatia uamuzi wa viongozi wa Manchester United kufanya mabadiliko katika benchi la ufundi.

Taarifa zinaeleza kuwa Carrick ameshapewa taarifa rasmi kuhusu uamuzi huo, huku safari yake ndani ya klabu hiyo ikifikia mwisho.

Karrick amaecheza
Michezo 32
Kushinda 15
Sare 8
Kupoteza 9

Alianza kazi Januari 2026 kama kocha wa muda baadae Mei 2026 akawa kocha mkuu na amefutwa kazi Novemba 2026.

Pia soma: Manchester United inatazamia kumfuta kazi kocha wake mkuu, Michael Carrick

Mechi zijazo za Manchester United​

1. Liverpool (Ugenini) – Ligi Kuu England, Jumapili, Novemba 22. Itaonyeshwa mubashara kupitia Sky Sports.

2. Sporting (Ugenini) – Ligi ya Mabingwa Ulaya, Jumatano, Novemba 25.

3. Brentford (Nyumbani) – Ligi Kuu England, Jumamosi, Novemba 28.

4. Newcastle (Ugenini) – Ligi Kuu England, Jumatano, Desemba 2. Itaonyeshwa mubashara kupitia Sky Sports.

5. Coventry (Nyumbani) – Ligi Kuu England, Jumamosi, Desemba 5.

6. RB Leipzig (Nyumbani) – Ligi ya Mabingwa Ulaya, Jumanne, Desemba 8.

=============
Manchester United can confirm that Michael Carrick has departed his role as men’s first-team head coach.
Michael rejoined the club in January and guided the team to a third-placed Premier League finish by winning 12 out of the remaining 17 games of the 2025/26 season, accumulating the highest points tally in the league during that period.

After a disappointing start to the season, the club has come to the extremely difficult conclusion that a change is necessary in order to achieve our ambitions.

Michael is, and always will be, a Manchester United legend. Just as he did as a player, he has conducted himself with the highest standards of dedication and professionalism throughout his time back with the club. His leadership and achievements last season will always be fondly remembered.

The club intends to appoint a permanent successor as quickly as possible.
Daah, wangesubiri liver nae ajipigie
 
Truly speaking, the problems affecting Manchester United go beyond the coaches often being appointed to manage the side.

Manchester United has appointed 11 different individuals (across 12 distinct managerial or caretaker spells) since Sir Alex Ferguson retired in 2013.
The list of permanent, interim, and caretaker managers includes:
• David Moyes (2013–2014)
• Ryan Giggs (Caretaker, 2014)
• Louis van Gaal (2014–2016)
• José Mourinho (2016–2018)
• Ole Gunnar Solskjær (2018–2021)
• Michael Carrick (Caretaker / Interim, 2021 & 2026)
• Ralf Rangnick (Interim, 2021–2022)
• Erik ten Hag (2022–2024)
• Ruud van Nistelrooy (Caretaker, 2024)
• Rúben Amorim (2024–2026)
• Darren Fletcher (Caretaker, 2026)

Needless to say, the Malcolm Glazer's family which currently runs the club is the one responsible for the woes currently bedeviling the former EPL champions and not the coaches.

The frequent hiring and firing of coaches by the club's management will definitely not solve the problem but will only aggrevate it and might eventually lead to the relegation of the club.
 
haisaidii kitu, yule mmiliki wao mshezi aliewachuuza waingereza wafanye brexit halafu kakimbilia kuishi ufaransa ndio wana usongo nae, hii ni kurukaruka tu, atatema bungo muda sio mrefu
 
Klabu ya Manchester United imeamua kumfuta kazi kocha Michael Carrick kufuatia tathmini ya ndani iliyofanyika ndani ya saa 48 zilizopita.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, uamuzi huo tayari umefikiwa na uongozi wa klabu, huku Carrick akipewa taarifa rasmi kuhusu kutimuliwa kwake leo.

Hatua hiyo inahitimisha safari ya Carrick ndani ya klabu hiyo katika nafasi yake ya ukocha, kufuatia uamuzi wa viongozi wa Manchester United kufanya mabadiliko katika benchi la ufundi.

Taarifa zinaeleza kuwa Carrick ameshapewa taarifa rasmi kuhusu uamuzi huo, huku safari yake ndani ya klabu hiyo ikifikia mwisho.

Karrick amaecheza
Michezo 32
Kushinda 15
Sare 8
Kupoteza 9

Alianza kazi Januari 2026 kama kocha wa muda baadae Mei 2026 akawa kocha mkuu na amefutwa kazi Novemba 2026.

Pia soma: Manchester United inatazamia kumfuta kazi kocha wake mkuu, Michael Carrick

Mechi zijazo za Manchester United​

1. Liverpool (Ugenini) – Ligi Kuu England, Jumapili, Novemba 22. Itaonyeshwa mubashara kupitia Sky Sports.

2. Sporting (Ugenini) – Ligi ya Mabingwa Ulaya, Jumatano, Novemba 25.

3. Brentford (Nyumbani) – Ligi Kuu England, Jumamosi, Novemba 28.

4. Newcastle (Ugenini) – Ligi Kuu England, Jumatano, Desemba 2. Itaonyeshwa mubashara kupitia Sky Sports.

5. Coventry (Nyumbani) – Ligi Kuu England, Jumamosi, Desemba 5.

6. RB Leipzig (Nyumbani) – Ligi ya Mabingwa Ulaya, Jumanne, Desemba 8.

=============
Manchester United can confirm that Michael Carrick has departed his role as men’s first-team head coach.
Michael rejoined the club in January and guided the team to a third-placed Premier League finish by winning 12 out of the remaining 17 games of the 2025/26 season, accumulating the highest points tally in the league during that period.

After a disappointing start to the season, the club has come to the extremely difficult conclusion that a change is necessary in order to achieve our ambitions.

Michael is, and always will be, a Manchester United legend. Just as he did as a player, he has conducted himself with the highest standards of dedication and professionalism throughout his time back with the club. His leadership and achievements last season will always be fondly remembered.

The club intends to appoint a permanent successor as quickly as possible.
Hakuna jipya, Poch naye atakuja atazuga zuga Novemba 2027 watamla kichwa

The cycle continues…
 
Man U inatakiwa ishuke daraja kwanza ndio akili itawarudia ili wamtimue huyo mmarekani anayeiua timu.
 
Back
Top Bottom